Notifications
Clear all

UGUNDUZI HABARI NJEMA KWA MIKOA YOTE WANALIMA NDIZI.( BANANA BLOSSOM MARKRT)

15 Posts
9 Users
3 Reactions
244 Views
Prof Kandinda
(@prof-kandinda)
Posts: 5
0.000
Topic starter
 
ndilalilaaa

Leo nimekuja hapa na habari njema kuhusu  hili zao la Ndizi,ningependa week tujadili  kuhusu faida ya ndizi.

  • Hapo juu kuna picha kikwenu mnaitaje
  • Hiyo kitu inapatika hapo kwenu?
  • Kama jibu ni ndio inapatikana kwawingi kiasi gani?
 
Posted : December 4, 2024 6:16 am
Gen Zs
(@gen-zs)
Posts: 10
0.000
 

@prof-kandinda Hii kitu sura sio ngeni ila kunasehemu naweza kupata mzigo mkubwasana kama vipi nipe kazi niingie mtaani.

 
Posted : December 4, 2024 6:42 am
Prof Kandinda
(@prof-kandinda)
Posts: 5
0.000
Topic starter
 

@Gen-Zs Changamkia fursa.

 
Posted : December 4, 2024 6:48 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@prof-kandinda Hii kilo moja inaendaje boss? Hii kikwetu tunaina Moyoni.

 
Posted : December 4, 2024 6:51 am
Prof Kandinda
(@prof-kandinda)
Posts: 5
0.000
Topic starter
 

@Sniper Asante kwa mchango wako.Bei elekezi inakuja soon.

 
Posted : December 4, 2024 6:57 am
Mziwanda
(@mziwanda)
Posts: 4
0.000
 

@prof-kandinda Nyie mliko mbele endelea kufanya tafiti na ugunduzi wa vitu sisi huku umesha stak yaani huku tumeisha kaachini tunangoja Neema ya Mungu.

 
Posted : December 4, 2024 7:10 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

Prof Kandinda
(@prof-kandinda)
Posts: 5
0.000
Topic starter
 

@Mziwanda kwenu mnaitaje kii tu?

 
Posted : December 4, 2024 7:16 am
Zuena
(@zuena)
Posts: 2
0.000
 

@prof-kandinda Hii tunaita ndambii kikwetu.

Hii biashara ipo kweli?

 
Posted : December 4, 2024 8:15 am
(@swaumu)
Posts: 3
0.000
 
image

Hii kwa Kiswahili inatwaje?

 
Posted : December 4, 2024 10:44 am
Hello Tanzania 🇹🇿
(@hello-tanzania)
Posts: 17
0.000
 

@swaumu Hii kitu inaitwa Akra kama sikosei.

 
Posted : December 4, 2024 10:53 am
Prof Kandinda
(@prof-kandinda)
Posts: 5
0.000
Topic starter
 
image

The banana blossom market is expected to grow, with a projected valuation of US\$653 million by 2030

Faida za Kiafya: 

  1. Kuponya kisukari na upungufu wa damu
  2. Punguza Shughuli Huria ya Radical(Radical Liberalism) 
  3. Matatizo ya hedhi
  4. kupungua uzito
  5. Kichocheo cha   cha Vitamini C,A,E
  6. Madini.
  7. Kuongeza Mood
  8. KuPunguza Wasiwasi
  9. Uterasi yenye afya
  10. Kuzuia kuzeeka
  11. Afya ya utumbo
  12. Saratani ya  Moyo
  13. Matatizo ya Neural
  14. Vitamini
  15. Kuongeza Madini

Hizi ni baadhi ya content zilizomo, Bikamka bana,kujifunza zijinsi:

  • Kutengengeza bidhaa au Dawa.
  • Kupa masoko ya ndani na nje.
  • Kupata Elimu zaidi.

 

Tukutane kwenye comments section nipe maone yako.

 
Posted : December 5, 2024 4:39 am
(@kabandwa)
Posts: 35
0.000
 

@prof-kandinda Kumenza kuchangamka.

 
Posted : December 5, 2024 6:03 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@kabandwa)
Posts: 35
0.000
 

@prof-kandinda Endilalila mbazigula mkaa bojoo 😂😂😂😂😂😂😂

 
Posted : December 5, 2024 6:04 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

@prof-kandinda Bikankabana anga Ndilalila?

 
Posted : December 5, 2024 6:26 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

@prof-kandinda Mayoge.

 
Posted : December 5, 2024 6:26 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW