Naomba bei ya hose Scania R240 yenye condition mzuri bila kujali km inaweza patikana kwa bei gani?
Ngoja waje watakujibu watu waliko South Africa
Karibu sana.
Kimya sana.
Gharama za usafiri pamoja na Maduta ni bei gani?
Bei gani hiyo membership?
Nashida Trailer vipi utaratibu wake ukoje nalipia tena kama mwanza?
Hapana membership yako bado iko vald unaweza kuncheki seller wako atakusaidia kutafuta bila gharama au kama vipi unaweza kufungua Thread mpya.
Sawa asante.
Karibu Sana
Tayari nimeijaza na kuituma.