Kama umelipa ada yako ya mnada au una kifurushi chochote unataka kushiriki minada naomba tukutane hapa.
@digxam Nimepitia utaratibu mpya wa minada swali langu ni moja ada ya 1,000 mtu akiharibu mnada itasaidiaje kumlipa muzaji?
Mtazamo wangu uko hivi kwakua watu bado tunajifunza hizi vitu basi tuache na hii ada ya 1,000 ili tujifunze mkiweka pesa nyingi wengi tutashindwa kushiriki.
@doreen-kagaruki Watu wanafuta pakuuzia biashara sio viziru kuwabana.
Nadhani utaratibu utakuwa ni mzuri,swali langu ni kuhusu ada ya 1,000 last time minada ilivurugika kwasabu ya baadhi ya watu kushindani kisha wakakimbia bila kulipia bidhaa zao,nadhani hii ndio sabau ya kuweka ada,swali langu je hii ada inatofauti gani na kushiriki bure mininda?
Watu wengi wata bid kisha wata kanseli minada bila maelezo hii kitu inataisha tamaa na kuwapoteza muda watu ambao wako seriou kama ilivyo kuwa mwanza kipindi watu wana bid bila ada.
Maoni yangu.
Ada ingekuwa kubwa kidogo ilikuondoa usumbufu kwetu sisi wauzaji,ikitokea mtu kavuruga mnada awajibishwe kwa kukatwa pesa ya ada ili kuondoa utoto kwenye biashara.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Asante kwa Maoni yako,ngoja tupate maoni ya Wadau wa wengine.
@jonson-john Ukita kuhari hizi vitu za online weka hela kubwa utawakosa watu wengi sana.