Notifications
Clear all

ONLINE AUCTION [Sticky] JINSI YA KUSHIRIKI MINADA ONLINE

17 Posts
7 Users
3 Reactions
336 Views
0
Topic starter

1.UTARATIBI WA KUSHIRIKI UKO HIVI:-

  1. Lazima uwe mwanachama  wa DIG-PESA,
  2. Gharama ya DIG-PESA ni 1,000. 
  3. Au Uwe na Kifurushi chochote. 
  4. Gharama Muda wake ni Mwaka moja.
  5. DIG-PESA itakuwezesha kushiriki minada bila kutangulisha kiasi chochote.
  6. Bei ya kujiunga inaweza kupanda muda wowote bila maelezo.

2.JINSI YA KULIPIA CARD YA KUSHIRIKI KWENYE MINDA.

  • Tumia lipa kwa simu.
  • Mtandao wa  :TIGO.
  • Namba ya Lipa : 175 561 26
  • Jina :Digxam Trades 

3.KUJARIBU NI BURE.

  • Wasiliana na Admin.
  • Ukitana mnada wako uwe pined hapa juu utalipa 1,000.
  • Ukitaka Kutumia Tag au jinalako  la biashara au jina lolote  utalipa 2,000.

4.UKISHALIPIA ADA YAKO YA MWAKA KWAJILI YA KUSHIRIKI MINADA.

  • Utaweza kushiri minda yote itakayowekwa hapa.
  • Ukishinda mnada utapaswa kulipa bidhaa yako   ndani ya masaa 24.
  • Umri sio chini ya miaka 18.
  • Ushiriki mnada bilakujua gharama zote,pamoja na gharama za usafiri.

5.WASHIRIKI KUTOKA SEHEMU YOYOTE NDANI NA NJE YA NCHI.

  • Kama utakuwa nje ya nchi uliza utaratibu wa kutuma ada.
  • Kama uko ndani ya nchi tumia hiyo lipa namba.
  • Mshiriki  yoyote anaweza kuweka mnada wake na watu wengine wakanunua,
  • Thama ya bidhaa   isizidi thamani ya laki tano.
  • Weka mnada wako siku 5 kabla ya Tarehe ya mnada. 

6.MASHARTI YA MINDA.

  • Malipoa yote yatafanyika kwa kutumia nfumo wa DIG-PAY.
  • Ukiweka bidhaa yako kwenye manda malipo ya yatafayika kupita kwenye Lipa namba hii 175 561 26.
  • Mzigo utasafirishwa hadi kwenye ofice zetu,pia unaweza kumtumia mwenye mzigo wake kabla ya kupokea pesa.
  • Biashara ikishindikana mnunuzi atarudishiwa pesa zake.
  • Makato ya kutuma pesa ni juu ya mtumaji.
  • Usifanya malipo au kuwasilina na muuzaji nje ya hii website yetu.
  • Usiweke namba za simu au barua pepe kwenye tangazo lako la mnada litafutwa.
  • Minada itaanza tarehe 01/12/2024.
  • Mnada wako utakaa hewani ndani ya week moja.

7.JINSI YA KUWEKA MNADA WAKO.

HH
  • Jisajili.
  • Lipia ada yako 1,000
  • Au kifurushi chochote.
  • Weka mnada wako kufuta maelekezo hapo juu kwenye picha.

8

.JINSI YA KUBID.

  • Chagua Mnada. 
  • Weka mnada wako mapema 
  • Soma kichwa cha habari kujua mnada gani unataka.
  • Bonyeza kwenye mdanda.
  • Andika kiasi.
  • Tuma.

9.MAWASILINO KWAJILI YA KUJIUNGA.

  • Piga namba hii :+255 712 7082 45
  • Wahtaspp :+81 80 2071 7421.
  • Email: info@digxam.site
aucc
Jonson Rumanyika Jonson Rumanyika November 16, 2024 5:18 am

@digxam Nimekulewa.

Sandra November 16, 2024 10:13 am

@digxam Twende polepole,huu mnada ndio ukoje?

5 Answers
2

Tayari nimelipia Jina ni Shereen S. Shamsa. 

Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 7:39 am

@sherlyn Tayari umeunganishwa karibu sana.

1

Swali langu ni hivi ikifika tarahe 1/12 sijalipia itakuwa?

Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 6:15 am

@amani-isaya Utashindwa  kushiriki minada, bora ulipie mapema kukukwepa  usumbufu unaweza kujitokeza.

Amani Isaya Amani Isaya November 16, 2024 6:17 am

Buku buku umefanya fear sana.

Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 6:19 am

@amani-isaya Karibu sana.

Amani Isaya Amani Isaya November 16, 2024 6:21 am

Tayari nimelipia,angalia jina la Amani Isaya hapa.

Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 6:23 am

@amani-isaya Asante.

0

Swali  mbona nikitaka kulipia 1,000 inakatwa kiasi cha 1050 naomba ufafanuzi kidogo.

Tayari nimeshalipia naomba uniweke nafasi ya mbele hapo.Ricept ya malipo iko hapo chini.

 

image
Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 5:28 am

@jonson-rumanyika Asante kwakujisajili kwenye mnada wa online siku ya leo.

Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 5:44 am

@jonson-rumanyika Hiyo 50 ni kodi ya Serekali boss wangu.

0

Nalipia leo ada ya wanachama wangu wekeni bidhaa tununue,malipoa tayari.

image
0

Naomba niungwe kwenye mnada tayari nimeisha toa buku hapo mh admin naomba angalia jina Glory Ivan hapo.

Digxam Digxam Topic starter November 16, 2024 7:15 am

@glory-ivan Sawa tayari.

Glory Ivan Glory Ivan November 16, 2024 7:23 am

Pamoja sana Digxam.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 


Digxam

FREE
VIEW