Notifications
Clear all

DIG-PAY [Sticky] KWAKIFUPI DIG-PAY NI NFUMO WA MALIPO........

8 Posts
2 Users
3 Reactions
94 Views
2
Topic starter

KAMA NI MTUMIAJI MPYA WA MALIPO YA MTANDAONI  YAANI DIG-PAY NITAKUFAFANULIA MAANA YA HII HUDUMA.

 

DIG-PAY AU DIG-CASH WATU WENGE UJIULIZA NINI?

DIG-PAY : Mfumo uliobuniwa kusaidia Wafanya Biashara na watu binafsi wanaouza vitu vyao mtandaoni kufanikisha usimamizi wa Kupokea pesa zao na wanunuzi kupokea bidhaa zao kwanjia ya Kidijitali

Jiunge na Maelfu ya Wafanya biashara waliochagua DIG-PAY Kuboresha huduma na kuongeza kasi ya mafanyikio yao.

 

1.Kwakifu Huu ni fumo mzuri sana rahisi kutumia pia ni salama kwa watumiaji wa mtandaoni,watu wakiwa sehemu mbalimbali bila kujuana na kufanya biashara baada ya biashara kufanyika kila moja ubaki salama bila kuumiza kama kulivyo kwenye mitanda mingine ya kijamii.

You will never  receive any transaction from the buyer Until you send the buyer's products or Parcel to our offices or  Direct  to the Buyer (Uwezi pokea  muamala wowote kutoka kwa MNUNUZI kabla ya kumtumia nzigo wake moja kwamoja au ku utumia kwenye office zetu..

2.Jinsi ya kujiunga na huduma hii andika neno niunge hapo chini kwenye comments section.

3.Ghalama za kujiunga ni 10,000 tu.

4.Tumia hii lipa namba kulipia Kifurushi chako pia.

  • Tumia lipa kwa simu.
  • Mtandao wa  :TIGO.
  • Namba ya Lipa : 175 561 26
  • Jina :Digxam Trades 

Tuma riceipt kwenye comments  section.

 

Hii ni option sio lazima kutumia huduma hii kufanya kila muamala unafanyika hapa.

Kama unafanya biashara na mtu unayemjua sio lazima kuwa member wa DIG-PAY au kulipa kwa njia hii.

Kama unafanya biashara na mtu ambaye tunamtabua kwa kumuwekea alama zifutazo unaweza kumlipa moja kwa moja bila kutumia DIG-PAY.

  1. Agent. 
  2. Service Provider. 
  3. Seller.
  4. Car Dealer. 
  5. Verified Member.

LIPIA KIFURUSHUKA CHA MEMBESHIP SIKU MOJA KBALA YA MUDA WAKE KUISHA UTAUNGANISHWA KWA BEI YA ZAMANI

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 7:10 am

@veronica-victor Asante sana kwa maelezo ya njii hii ya malipo.

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 7:27 am

@veronica-victor Tayari naomba niunge na huduma hii.

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 7:42 am

@veronica-victor Asante sana dada hii ni ajira yangu naipenda na kuheshimu nikiona mambo kama haya mtandao nafurahi sana.

2 Answers
1

Nimelipa 10,000 kwenye hiyo lipa namba.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter December 15, 2024 7:39 am

@fundi-laptops Sawa tayari umeunganishwa.Asante kwakutumia huduma zetu.

Veronica Victor Veronica Victor Topic starter December 15, 2024 7:39 am

@fundi-laptops Sawa tayari umeunganishwa.Asante kwakutumia huduma zetu.

0

Nimefanya malipo ya 10,000 kwajili ya kujiunga na huduma hii.

Fundi Laptops Fundi Laptops December 15, 2024 7:46 am

Nataka nijikite mtandao kwenye hii platform nadhani mbeleni itanisaidia sana kutimiza ndoto zangu,


Digxam

FREE
VIEW