Natafuta iphone x GB 256 nIko Moshi, nataka used ambayo imetumika ulaya au Japan iwe imefunguliwa isiwe na iclud battery isiwe mbovu pia iwe na chaji yake original pamoja na earphones.
Malipo.
Kama uwezi kupokea pesa kwakutumia nfumo wa DIG-PAY naomba usipoteze muda wako hapa sitatuma pesa kwanjia nyingine tofauti na nfumo huu.
Kama unayo naomba tukutane kwenye coments section.
@rahma-matty hii hapo simu napokea kwa DIG-CASH,hii simu ni used Japan Simu iko Japan.
Naipataje kutoka huko Japan hadi Mosho? Vipi bei inapoa kidogo?
@rahma-matty Unaipata ndani ya week moja tu. Weka balance kwenye wallet yako ya DIG-PAY kisha Lipia ili kesho mapema nikutumie kwa njia ya EMS utaichukua huko Moshi.
A.Nawekaje Balance kwenye wallet?
B.Kuna gharama zingine nitalipia huku simu ikifika?
C.Simu inakipengele chochote?
@rahma-matty A.Tumia lipa Namba 175 561 26 ya TIGO jina la mpokeaji ni Digxam Trades.Ukisha kamilisha mtumie admin copy ya receipt ya malipo @admin. B.Ndio utalipia hela kidogo kwenye department ya Custom kama ushuru. C.Simu haina kipengele chochote.
@rahma-matty Seller kaishakutumia invoice bonyeza kitufe kimoja wapo yaki ya accept au Cancel,ukibonyeza Accept tayari uutakwa umemlipa kiasi cha 250,000 kwajili ya manunuzi ya simu ya iPHONE X GB 256 USED Japan.
Tayari nimepata ujumbe sent to incoming balance
inauliza Release this amount 250,000 nibonyeze hiki kitufe?
@rahma-matty Hapana do not release hadi ukipata mzigo wako ndio una achilia mazima hiyo pesa au admini anaweza kukusaidia kuiachilia hizo pesa kwenda kwa muuzaji endapo utachelewesha au utakuwa nje ya mtandao kwa muda mrefu sana. Hiyo pesa umeituma ila ningumu seller au wewe buyer kuitoa yaani withdraw, seller anaweza kuitoa kama buyer au admin kaiachilia kwenda kwake. Buyer hii pesa inaweza kumrudia kama admin atairudisha kwa buyer hivyo admin ana mamlaka ya kurudisha hii pesa kwa buyer au kwa seller tu pia yeye hana option ya kuitoa.
Ok Sawa asante sana @jonson-John kesho nangojea update nimekutumia ujumbe kwenye whatspp yako.
@rahma-matty Asante kwakutumia huduma zetu za online pamoja Huduma za malipoa kwanjiya ya matandao yaani DIG-PAY.Karibu sana.
@rahma-matty Kesho mapema ukiamka utakuta tracking number ya mzigo wako.
Mzigo wako tayari nimeutuma kwanjia ya EMS baada ya week moja utapokea mzigo wako,asante kwakuniungisha karibu sana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Sawa nimeona nashukuru sana kwa uamnifu.
Natafuta Samsung GALAXY A23 5G SC-56C bei gani hadi hapa Matema Kyela Mbeya.