Naomba kujua bei ya chaji za mtumba original za iPhone na Typc kuanzia pcs 200 nitapata kwa bei Gani?
Chaja zipo utapata kwa 1ml kila kitu pamoja na usafiri.
Naweza kuziona kama unapicha niwekee
Picha ningumu au shida nini.
Types kwa Types
Mpya hapana nataka pcs zingi sana za mtumba.
Usikonde kuna sehemu zipo ngoja nikipita nitakutumia.Mpya hapana nataka pcs zingi sana za mtumba.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿