Naweza kupata oil ya Toyota origine kabisa number 20W-50 Engine ya Petrol ?
Unahitaji lita ngapi?
Lita tano bei gani?
@mama-sadiki Laki moja.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Sawa nitakucheki unipakilie niweka salio
Tayari nimeweka naomba ipakie