Notifications
Clear all

ZAWADI! ONYESHA KIPAJI AU TEKINOJIA USHINDE LAKI MOJA .

3 Posts
2 Users
3 Reactions
210 Views
Digxam
(@digxam)
Posts: 67
Admin
Topic starter
 

Tuonyeshe kipaji chako upate zawadi ,kama wewe ni mvumbuzi au mtu mwenye kipaji cha aina yoyote kama technology na mambo kama haya hii inakuhusu.

  • Unaweza kufanya mambo yafuatayo:
  1. Weka andiko lako hapa  .
  2. Ounyesha picha .
  3. Weka Video. 

Ili tupate mshindi nilazima kuwe na posts zaidi ya 10 zitakazo postiwa na watu mabilimbali ili tushindanishe tupate mshindi. moja.

Ili ushinde 100,000  unatakiwa upigiwe kura zisizopungua 100. 

 
Posted : November 1, 2024 6:07 am
Asha, Kachara and Digxam reacted
(@kachara)
Posts: 4
Balance 0.000
 

@digxam Asante kwa kuinua vipaji mtafika mbali sana.

 
Posted : November 1, 2024 6:18 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 67
Admin
Topic starter
 

Karibu sana,hakikisha unashare ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.

 
Posted : November 1, 2024 6:30 am

Leave a reply

Author Name

Author Email

Title *

My Media   or drag and drop it here. Max file size 1GB
 
Preview 0 Revisions Saved

DIGXAM

FREE
VIEW