Malipo ya mshindi wetu wa shindano (la weka picha yakichekesho upate zawadi ya elefu 30 yatakamilia kesho mchana muda kama huu baada ya kupata mshindi.Shindano hili limedhamini na Digxam Lipa kwa Simu.
VIGEZO
Tunapokea posts zenye picha mzuri za kuchekesha kisha zipigie kura tupate mshindi.
Mshindi uatapkea pesa kwa njia ya simu au Bank.
Umri usio pungua 18
Mshindi atajulikana mwisho 12/01/2024 wa mwezi saa 00:55 kwa saa za Africa Mashariki,
Baada ya kupost picha omba watu kwenye mitandao ya kijamii wakupigie kura ushinde zawadi hii kirahisi.
Unaweza kupost mala 5 picha tofauti kihakikishia ushindi.
Omba watu wakupigie kura kuanzia nyumabni kweny hadi mtaani kwenu na kwenye mitandao ya kijamii.
Share kwenye Mitandao ya kijamii.
SHINDANO HILI LIMEDHAMINIWA NA DIGXAM LIPA KWA SIMU