Notifications
Clear all

MCHUMBA. NATAFUTA MCHUMBA

4 Posts
4 Users
13 Reactions
236 Views
13
Topic starter

 

AA290860 2EEF 414F B487 43F2F63E8200

Hello Guys Kwa majina naitwa Merry Ommy,Niko chuo Mlimani mwaka wa nne,na umri wa mika 26 Natafuta mchumba.

  • Umri kuanzia 28 kwendelea.
  • Mwenye upenda. 
  • Sipendi mtu muongo muongo.
  • Weka picha yako kwenye profile nikuone.
  • Nitumie naba yako ya simu nitakutafuta.

Mimi ni muwazi sana sipendi mtu  muongo nimechoshwa na wanaume waongo ,natafuta mtu ambaye yuko tayari kuwa na family si vinginevyo.

Faheem ally sanyange December 22, 2024 3:57 pm

@merry-ommy kama upo serious nicheki 0769581916

Merry Ommy Merry Ommy Topic starter December 22, 2024 6:10 pm

@Faheem-ally-sanyange Weka picha yako kwenye profile nikuone.

Sniper Sniper December 22, 2024 9:40 pm

@merry-ommy
@grace-ngalawa Yaliyomo yamo .Asante nicheki tuyajenge 067 898 1151.

Juma Sanka Juma Sanka December 24, 2024 6:01 am

@merry-ommy Mambo mrembo,mbona DM zangu hazibiwi.


Digxam

FREE
VIEW