Nahitaji Engine ya Komatsu PC 300 used nitapata kwa bei gani?
Hii ya kutafuta,kama utaweza lipia kifurushi cha 200,000 tukutafutie Hii Engine.Nahitaji Engine ya Komatsu PC 300 used nitapata kwa bei gani?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Unaakika itapatikana nataka used sio mpya.
100% Utapata.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Nitumie link