Naomba ushauri nahitaji PC latest ya kazi kama kuna mtu mwenye uzoefu na PC naomba ushauri please.
Ungetuambia bajet yako ingependeza zaidiĀ
5ml ipo nikupe ushauri?Naomba ushauri nahitaji PC latest ya kazi kama kuna mtu mwenye uzoefu na PC naomba ushauri please.
Ā
Unataka laptop yaaje kijana?
Kwani uko mwaka wangapi chuo nikutafutie pc kali sana.
@furaha Mzigo upo ukinishauri nachukua mzigo wa bei yoyote.
Mac au WindowsĀ
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darā Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.ā ā ššŖššæ

3mlĀ

Hii ni mpya au used?
Mpya.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darā Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.ā ā ššŖššæ
Used yenye Vigezo kama hivyo beigani?
@lucy-walter Siwezi kujua labda lipia membership nikutafutie.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darā Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.ā ā ššŖššæ
Ikoje hiyo membershipĀ
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darā Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.ā ā ššŖššæ
100KĀ

Ok sawa nitakujulisha ngoja nifike OfficenĀ
Sawa karibu.