October 16, 2024 5:07 am
Topic starter
Kuna watu wengi wanatamani kufanya biashara za spare za Magari ya Used na Mapya ila wanakosa taarifa sahihi kwaribu sana.
1.Jisaji
2.Niambia spare gani unahitaji
@ally-kanagawa Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.
@ally-kanagawa Naweza pata Differential ya Toyota Noah SR40. Hii ni moja tu kwa ajili ya gari yangu
@David ikiwa pamoja na Tube housing yake sio?