Notifications
Clear all

Greetings!! Naomba Ushauri wenu wapi ni nunue Gari kati ya nchi zifuatazo Tanzania ,Africa Kusini.Japan Duai wapi kwa uzoefu wako?

4 Posts
5 Users
0 Reactions
79 Views
0
Topic starter

Habari zenu wadau,swali langu ni fupi wapi kati ya hizo nchi nimezitaja hapo juu nikaagize Gari au kunua Gari,kama unauzoefu nambo ushauri wako.

4 Answers
0

Gari gani unataka kuagiza niku ushauri.

0

Tutajie bajet yako aina ya Gari unahitaji tutakushauri.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0

Unataka aina gari ya Gari?

  • Truck
  • Gari Dogo 
  • Basi

Unataka Gari 

  • Jipya 
  • Mtumba?
0

Kuna Magari yanapatika Japan ukiyatafuta South Afrika au Dubai upati pia kna Magari yanapatikana South Africa ukiyatafuta Dubai au Japan upati,ebu funguka unataka Gari gani? 


Digxam

FREE
VIEW