Notifications
Clear all

Digxam HERI YA WEEKI YA HUDUMA KWA MTEJA

29 Posts
11 Users
20 Reactions
241 Views
2
Topic starter

 

Happy2

Asante kwakuwa mteja wetu wa thamani, Ahadi yetu nikuendele kukapa huduma bora za mtandaoni.Karibu mpate huduma zenye viwango vya kimataifa kama ifuatavyo:

  • Weka Tangazo lako la bidhaa   ufikie watu wengi.
  • Leta Tangazo lako la huduma Tukutangazie.
  • Agiza Simu Laptops Play Stations na vifaa vya umeme ndani na nje ya Nchi.
  • Agiza Gari Lako kutoka Japan Dubai na South Africa. 
  • Tumia Plaform ya Minda ungeze thama ya bidhaa zako.

Asante kwakuchagua Digxam tunaomba maoni yako kwenye comments section .

EmmyName October 26, 2024 1:25 pm

@digxam Habari boss!

EmmyName October 26, 2024 1:25 pm

@digxam Utaratibi ukoje?

Digxam Digxam Topic starter November 1, 2024 6:36 am

Unatakiwa uwe na membership kabla ya yote.

8 Answers
2

Asante kwa huduma bora za Digital Services, Kuna changamo bado kwenye kwenye mifumo ya malipoa naomba mkaifanyie kazi hadi next Year kila kitu kiwe sawa.

Digxam Digxam Topic starter October 7, 2024 11:30 am

@full-dose Asante sana kwanchango wako,Ulikuna na changamoto gani kwenye nfumo wa malipo tuifanyie kazi.

Full Dose October 7, 2024 11:56 am

@digxam Kuna siku nilifanya malipo kwa seller Japan ilichukua siku mzima kupata taarifa ya muamala kwama,maoni yangu hii ni mbaya sana kwa Digital Platform kubwa kama hii yenye malengo kakubwa kiukweli sikufurahia kabisa,naomba next time  nikifanya malipo Seller afanye confirmation  papo kwa hapo tofauti na hapo itakuwa aileti maana ya Digital Platform itakuwa Analogy Platform.

Digxam Digxam Topic starter October 7, 2024 11:59 am

@full-dose Asante tulifanyia kazi.

2
IMG 20240910 WA0004

Asante sana.

EmmyName October 26, 2024 1:27 pm

@mwanaisha Uko mkoa gani?

2

Kidogo kuna jambo limenikwaza sana,leo naomba niliseme hapa mwezi uliopita niliagiza Gari la mteja wangu kwakutumia account zangu za bank nikatma  hella Japan, nikamtumia Majina ya mteja wangu ili Gari likifika liasome majina yake moja kwa moja lakini chakushangaza juzi nilitumiwa BL zinasoma jina langu nakamcheki Seller akaniambia ningumu kubalisha majina kwasabu pesa zimetoka kwenye account yangu je  hii ikosawa admin?

Digxam Digxam Topic starter October 7, 2024 1:00 pm

@lucas Pole sana,nemejaribu kutafuta hizo thread  yenye makubaliano  sijaiona  hapa naomba kujua mliwasilina kwanjia zipi hadi kufikia hatua hiyo,kama ni kwenye jukuwa la Magari naomba  unitumie link.

2.Kama Meli imefika itakuwa ngumu kufanya amendment kwenye BL.

3.Lakini kama meli bado ikonjiani sio tatizo  amendment itafanyika bila gharama yoyote, leta hiyo link ya makubalino tuone hoja za Seller ni zipi.  

Digxam Digxam Topic starter October 7, 2024 1:00 pm

@lucas Pole sana,nemejaribu kutafuta hizo thread  yenye makubaliano  sijaiona  hapa naomba kujua mliwasilina kwanjia zipi hadi kufikia hatua hiyo,kama ni kwenye jukuwa la Magari naomba  unitumie link.

2.Kama Meli imefika itakuwa ngumu kufanya amendment kwenye BL.

3.Lakini kama meli bado ikonjiani sio tatizo  amendment itafanyika bila gharama yoyote, leta hiyo link ya makubalino tuone hoja za Seller ni zipi.  

Lucas October 7, 2024 1:12 pm

@digxam Hii niliwasiliana nae kupitia kwenye (Private Room VIP)  kila nikijaribu kuweka hapa inagoma inaniambia (error ,You don't have permission    to access this link for your level) ukiingia hapo utainoa imekua approved na Modulator.

Digxam Digxam Topic starter October 7, 2024 1:54 pm

@lucas Sawa  nimeona Pole sana,ukiangalia hapo   nime comment chini ya hiyo thread yenu ya makubaliano, Kwakifupi amendment ya BL kubadilisha Consignee  kutoka kwako kuja kwa Mteja wako  itafanyika bila gharama yoyote  as longer as Gari bado kufika kwenye final  Destination  .Fanya mambo ya fuatayo,mtumie seller kwajilia ya amendment :

  1. Tuma majina kamili ya mteja wako bila kukosea jina wala herufi moja kama yalivyo kwenye Passport au Kitambulisho chake .
  2. Majina ya fanane sawa na kwenye TIN namba ya TRA.
  3. Tuma address ya Mteja wako sawa na kwenye kitambulisho chake au Passport  yake ya  Kusafiria.
  4. Baada ya Gari kufika Bandarini unatakiwa kupekeka  copy ya  kitambulisho pamoja na  Documents ambaazo utaobwa na Agent kwajilia ya kutoa Gari Bandarini.

 

  • Hizo BL zako ambazo umetumiwa  zitaendelea kusama majina yako,mabadiliko yatafanyika kwenye system ya shipping company na kwenye Mamlaka  zingine.
  • Delivery Oder kutoka kwenye shipping Company baada ya Gari la Mteja wako kufika  itasoma Majina ya  mteja wako badala ya Majina yako. 
  • Pia Release Order kutoka TRA baada  ya Gari la Mteja wako kufika na  kutoka Bandarini  Majina ya umiliki yatasoma mteja wako  badala ya Majina yako.
  • Registration card kutaka TRA pia itasoma Majina ya  ya mteja wako badala ya Majina yako.  

Kama unaswali maoni mapendekezo naomba nikusaidie,

Lucas October 7, 2024 2:43 pm

@digxam Asante sana!

Nimetuma kila kitu vipi  itachkua muda gani?

 

Jambalingine naomba Car Dealers tuanamba tupate access ya kufanya adding content zetu kwenye jukwaa angalau moja la Magari, hii imekuwa changamoto sana kwetu hata kama wengine wamekaa kimya nitawasemea,nfano mtu ukikosea herufi au sentensi inabaki hivyo hivyo wakati mwingine mteja anashindwa kulewa ulitaka kusema nini  pia simu kuna muda uandika maneni ya matusi bila mtu kujua hivyo naomba masaada kwenye hili.

Digxam Digxam Topic starter October 7, 2024 3:11 pm

@lucas Amendment ndani ya masaa 24  itakuwa tayari relax.

Kuhudu access ya kufanya editing iliondolewa kwa sellers wote kwasababu ya undanganyifu baadhi ya Sellers wanafuta makubaliano ya awali wanapachika uongo mwisho  Buyers wakalalmika sana pia na baadhi ya Buyers waongo ikabidi  hii huduma ifungwe. 

Kuanzia kesho Tarehe 08/10/2023 tutarudishwa hizo access kwa watumiaji wote kwa masharti  ukifanya maboresho yoyote kwenye Posts zako au kwenye comments zako baada yaku repost zitakua invisible kwenye public hadi @Admin azipitie na kufanya approving hivyo kuweni makini unapo chati na mteja wako kabala ya kutuma preview soma malambi ondoa makosa  kabla ya kutuma.

Tunakaribisha maoni na ushauri.

Lucas October 7, 2024 3:26 pm

@digxam  🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😍 😍 Pamoja sana.

2

Habari njema

EmmyName October 26, 2024 1:27 pm

@omega Habari!

2
BA93A44E 643D 47DF A2E4 2D5BF316B0BA

Ngoja niwachangie,hasente kwa huduma bora.

Veronica Victor Veronica Victor October 20, 2024 5:44 pm

@sniper asante sana!

Tayari nimekuunga na kifurushi cha 30,000 cha mwaka.

Sniper Sniper October 20, 2024 5:45 pm

@veronica-victor Poa sister admin 👩‍💼

EmmyName October 26, 2024 1:28 pm

@sniper Umefanya vizuri sana hizi huduma zinasaidia sana huko mbeleni.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

2

Swali langu moja tu simple  Digxam nini?

Digxam Digxam Topic starter October 21, 2024 7:46 pm

@sweetheart Asante sana kwakuliza swali,Digxam ni mtandao wa Biashara Duniani kwanjia za kidigital

EmmyName October 26, 2024 1:29 pm

@sweetheart Nimekuelewa vizuri.

2

Kwa majina naitwa Mbuta Likasu napenda vile hii inatumika muzuri sana.

2

Nimepitia comments huu ni umoja wa roho umetuleta pamoja.

EmmyName October 26, 2024 1:30 pm

@umoja Umeona heee


Digxam

FREE
VIEW