Notifications
Clear all

Registered Users Only HUDUMA YA KUKAGUA KUNUA KUSAFIRISHAJI WA MAGARI NA MASHINE KUTOKA AFRIKA KUSINI - TANZANIA

10 Posts
7 Users
6 Reactions
312 Views
1
Topic starter
IMG 20230816 WA0008
image
image
image
image

 

 

 

Kama unahitaji Vitu vifutavyo  kutoka Africa Kusini naomba tuwasilinae kupitia kwenye page hii  nitakupa taarifa zote,Tunatoa huduma zifutazo.

  1.  Gari Jipya 
  2. Gari la Mtumba 
  3. Mashine 
  • Huduma nipamoja na.
  • Ukaguzi 
  • Kununua Kusafirisha 

 

  • Garama ya ukaguzi ni R5,000
  • Gharama ya Manunuzi inategemea na ainaya ya Gari
  • Garama za Kusafiri pia inategeme na aina ya Gari

Nfano Magari madogo gharama za usafiri Kutoka South Africa kuja Tanzania .

 

 

  1. Mafuta R15,000
  2. Derava R15,000
  3. Botswana Clarence R1,000
  4. Zambia R5,000 Dolla
  5. Tall Gate R1,000
  6. Emergence R2,000
  7. Change Ownership R1,000
  8. Interpol R3,000
  9. Jumla R43,000

 

5 Answers
1

Ushuru wa Gari la kutoka South Africa Najan  ni sawa?

GP Logistics GP Logistics Topic starter October 3, 2024 4:38 pm

@ngaliba Ushuru uko sawa, Utapata Faida zifutazo 

1.Gari kutoka South Africa Uchukua muda mfupi sana kufika Tanzania

2.Grama za uasafiri sio kubwa ukilinganisha na usafiri wa Meli 

3.Hakuna gharama na mzunguko kama Bandarini.

Ngaliba Ngaliba October 3, 2024 4:40 pm

@gp-logistics Asante sana 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️ 🖐️

1

Mkuu Gari yangu inashida ya mshale wa mafuta ulikua una fanya kazi sa ingine haufanyi sasa hivi ndo haufanyi kabisa Gari ni Toyota ist msaada zaidi

GP Logistics GP Logistics Topic starter October 3, 2024 6:31 pm

@sniper Hii wacheki Mafundi wa Magari au watu Waliko Japan @Konson-John

1

Nashinda na BMW MOJA KALI SANA KUTOKA SOUTH AFRICAN 

Makarius October 16, 2024 4:31 am

@tatu Gari gani?

1

Niatafutie Gari  moja kali sana hapa South

Makarius October 16, 2024 4:32 am

@abel Gari gani mekazania Gari moja kali taja aina ya Gari tukueleweni.

1

Nahitaji Probox wadau.

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 


Digxam

FREE
VIEW