Notifications
Clear all

BATTRY [Solved] Betri ya Simu ya Samsung J2 inahitajika haraka

16 Posts
4 Users
4 Reactions
183 Views
1
Topic starter

Nitapata wapi Battery ya Samsung J2?

EmmyName October 26, 2024 1:43 pm

@good Safi sana.

3 Answers
1
image
image
Good Topic starter September 29, 2024 10:27 am

@dalali-mziefu-kariakoo bei gani unuza?

Good Topic starter December 15, 2024 8:31 am

@dalali-mziefu-kariakoo Ghara za usafiri niko Mwanza.

Good Topic starter December 15, 2024 8:57 am

@dalali-mziefu-kariakoo CQD8FU18N9675 Confirmed. Tsh30,000.00 paid to LIPA DIGXAM TRADES JW on 15/12/24 at 11:57 AM and charged Tsh1,000.00.

1

10,000 tu

Good Topic starter September 29, 2024 11:00 am

@dalali-mziefu-kariakoo Uko mkoa gani mkuu?

Dalali Mziefu Kariakoo September 29, 2024 11:09 am

@good Karikoo

EmmyName October 26, 2024 1:44 pm

@dalali-mziefu-kariakoo Kazi kazi chif.

Good Topic starter December 15, 2024 8:31 am

@dalali-mziefu-kariakoo Jumla bei gani mkuu.

Dalali Mziefu Kariakoo December 15, 2024 8:36 am

@Good Pamoja na usafiri utalipia 30,000 tu.

Good Topic starter December 15, 2024 8:47 am

@dalali-mziefu-kariakoo Mbona ukisema 10,000 mwanzo?

Dalali Mziefu Kariakoo December 15, 2024 8:50 am

Hiyo bei ya zamani sana ulitakiwa kulipia kipindi hicho.

1

Pia nashida na Battery ya Simu yangu.

EmmyName October 26, 2024 1:44 pm

@tatu Vipi umepata?

Tatu December 15, 2024 6:17 am

Bado sijapata betri.


Digxam

FREE
VIEW