Hivi nikweli Diamond alipewa mwaliko na Puff Daddy?
Mtoto wa mwanajeshi wa Jeshi la Anga la Marekani, aliyelelewa kwenye misingi ya Kikatoliki. Akawa Muimba muziki aliyeshinda mpaka tuzo za Grammy na Producer aliyewatoa wasanii wengi. Tajiri Bilionea mwenye makampuni makubwa, P Diddy mwenye miaka 54 ameshtua wengi kwa mambo yake.
Kuna watu ambao waliwahi tu kupiga picha na Diddy ila kwasasa wanajuta jumbo bovu wanawaangukia bila kuhusika kwenye kshfa iliyomkumba.
Nasikia kawapelekea moto wasanii wengi maarufu wa kiume kisha kuwapa pesa ndefu .
The good thing about Diddy nobody has a pregnant or claiming about matumizi ya mtoto 🤣 🤣 🤣 😎
Hili naliwe fundisho usije ukaona mtu anamalizake ukamshobokea i seee watu wanapelekewa miaotoooo hatari kisha wanawepa hela au michingo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Halloooooooooooooooooo!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hatari sana
Hii Dunia nipishe nishuke.