Notifications
Clear all

2. Mark Zuckerberg Akifanyia Kazi Tovuti ya Kwanza ya Facebook

1 Posts
1 Users
0 Reactions
49 Views
Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
0.000
Topic starter
 

2. Mark Zuckerberg Akifanyia Kazi Tovuti ya  Kwanza ya Facebook

 

Wote tunajua historia ya Facebook pamoja na mwazilishi wake Mark Zuckerberg, lakini kwenye picha hapo juu ni wakati Mark akiwa chuoni pamoja na wenzake wakifanyia kazi tovuti ya kwanza kabisa ya Facebook amabyo kipindi hicho ilikuwa inaitwa thefacebook.com. Kwa sasa wote tunajua utajiri alionao jamaa huyu, Jamaa ana utajiri  zaidi ya dollar za marekani bilioni $76.7.

image

 

 
Posted : September 26, 2024 3:43 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW