Notifications
Clear all

REPAIR Natafuta Gari Dogo la kutembelea

7 Posts
3 Users
0 Reactions
188 Views
0
Topic starter

Habari mm ni ngeni hapa hivi naweza kupata Gari Digo la kutembelea kutoka japan baje yangu ni milioni saba naomba muongozo wenu wakuu 

2 Answers
0

Ningumu sana kupata jaribu kuangalia hicho kiasi ukinunua Dolla utapa Dolla ngapi kisha uje hapa tujadili bajeti yako.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Marius Julius Topic starter September 19, 2024 6:33 pm

@jonson-john Kama $2,500 hivi.

Jonson John Jonson John September 19, 2024 6:37 pm

@marius-julius Hilo Gari kwa bajet hii litanunuliwa bei gani na kusafirishwa bei gani na ushuru utalipa bei gani?

Marius Julius Topic starter September 19, 2024 6:38 pm

@jonson-john Nitafute bei gani mkuu tishauriane sio ugomvi.

Jonson John Jonson John September 19, 2024 6:41 pm

@marius-julius Fanya hivi niambie Gari gani unata nikupe bei ambayo itakuwa nafuu kwako  ,siwezi kujua Gari gani unata boss wangu.

0
Topic starter

Sawa nitakurudia.

Sniper Sniper September 19, 2024 7:36 pm

@marius-julius Kuna Gari langu naliuza Toyota Ist numbe E nataka milioni 12 kama utahitaji nicheki tufanye biashara.


Digxam

FREE
VIEW