Notifications
Clear all

Nashida na Generator la KVA 35

10 Posts
4 Users
1 Reactions
256 Views
1
Topic starter

Naomba bei ya Generator la kva 35 la used Japan litanikosti bei gani?

0

25ml used Japan,ukita kujua bei ya used bongo au SouthAfrica inaweza kupost kwenye majukwa husika.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

0

Hivi ni kweri KVA 35 inaweza kutosha kuwasha kituo cha mafuta?

admin admin February 16, 2024 1:51 pm

@donatha-mshamba siwezi kujua mimi sio fundi umeme,mtafute fundi umeme mulize akupimia atakuwambia ni KVA ngapi zinatakiwa

0

Ok

0
Topic starter

Nfano hii Generata naipataje kwa hii membership nikilipia?

0

Mimi nashida na Generato ndogo ya diesl isidizi KVA 10 bei gani?

admin admin February 16, 2024 3:39 pm

@emanuel-justnine  Ombi lako linashughulikiwa nitakurudia.

Donatha Mshamba Donatha Mshamba February 29, 2024 9:34 am

Posted by: @emanuel-justnine

Mimi nashida na Generato ndogo ya diesl isidizi KVA 10 bei gani?

Anzisha Thread mpya ya kwako usitume request juu ya request tutashindwa kuwahudumia.

 

 

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

 

0
Topic starter

@admin naomba kujibiwa maswali yangu.


Digxam

FREE
VIEW