Kati ya picha nilizo kuta nazo jana Mtandaoni Hii picha imeniumiza sana 🥹 imenitoa machozi, imagine unakuwa mwizi. Hadi inafika mahali unatakiwa kuuwawa kwa kuchomwa moto na Matairi mbele ya Mama yako mzazi 😭😭 Huyu mama atakuwa na kumbukumbu gani akikumbuka namna jinsi alivyo Mpoteza kijana wake kinyama namna hii👇