Notifications
Clear all

FOR SALE! TIGO Bando La Offa Kwa Nfanyabiashara

6 Posts
2 Users
1 Reactions
92 Views
Tigo Tanzania
(@tigo-tanzania)
Posts: 4
Service Provider
Topic starter
 

Kama wewe ni Nfanya biashara hii inakuhusu.

Vigezo

Email Address.

Tin Number.  

Namba ya Simu. 

Kama vipo vyote njoo nikuunganishe leo.

 

1908B4FE 0309 4A82 ABAB DA8BA23124DD
 
Posted : August 22, 2024 5:23 pm
Tigo Tanzania
(@tigo-tanzania)
Posts: 4
Service Provider
Topic starter
 

Asante kwa kutembelea ukurasa wetu.

 
Posted : August 22, 2024 6:37 pm
Sniper reacted
Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

Naomba kujua

 

nfano tin namba ikitofautiana na majina na namba ya usajili nitapa hii duma?

 

swali langu la pili kuna gharama?

 
Posted : August 22, 2024 6:42 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

I mean majina ya usajili wa line na tin number sorry nadhani swali langu umenielewa.

 
Posted : August 22, 2024 6:47 pm
Tigo Tanzania
(@tigo-tanzania)
Posts: 4
Service Provider
Topic starter
 

@sniper Majina ya TIN na usajili wa line yako yasipishane hata herufi moja.

 
Posted : August 22, 2024 7:47 pm

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Sniper
(@sniper)
Posts: 82
Available 100,000
 

@tigo-tanzania Sawa ngoja nijipange nakutumia.

 
Posted : August 22, 2024 9:00 pm


Digxam

FREE
VIEW