Kumekucha na makucha yake, jamani marafiki zangu ebu wangapi wangependa kunipokea aorport Mwalimu Nyerere?
Nitakuja Syster wewe njoo na zawadi za kumwaga.
Nitakuja Vero sema saa ngapi nipige kambi.
@sinyorita Asante sana.
@gemimah Asante sana kipenzi ngoja nipate boarding pass niwataarifu.
Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.
Bonyeza Hapa !
Kuna watu wanasema wananipenda kumbe waongo mbona siwaoni hapa?
@veronica-victor Nakuja kipenzi usikonde.
@sniper Ya kweli hayo?