Notifications
Clear all

ZAWADI! Nani Anataka Hii Zawadi ya hii laptop 💻

23 Posts
8 Users
8 Reactions
262 Views
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

ZAWADI ZAWADI!

 

Hii laptop nimeinunua mwaka jana tarehe kama ya leo 20/08/2024 leo imetimiza mwaka moja tangu nimeinunua ,kama unahitaji hii pc naomba comment kwenye comments section. 1.)Niambia kwanini unahitajo hiii 💻

2.Kwanini asipewe mtu mwinine upewe wewe..

 

  • HP
  •  windows 
  • Adapter Type C 
  • HD 1T
  • CPU : Core i7 4700MQ
  • (2.4GHz~3.4GHz)
  • memory : 16GB
  •  
    Storage : SSD 1TB(Crucial CT500MX500SSD1)
  • Other Drive : DVD Super Multi Drive
  • Kioo ukubwa  : 17.3 -inch 1600x900
  • Mshindi ataichukua bure 100%
  • Muda ni masaa 24 baada ya hii post.

 

D7FD3030 3912 451A 9E45 E936336A69AF

HP
 
Posted : August 20, 2024 5:11 am
Jemima reacted
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

Habari Sister 👋 naoimba hii pc 💻 Niko chuo na soma.sina mkopo pia  wazazi wangu  hawana uwezo wa kuninunulia pc.

 
Posted : August 20, 2024 5:31 am
Bila Bila
(@bila-bila)
Posts: 6
Customer Current Balance 5,000,000
 

Dada mimi nina matatizo mengi sana nikianza kuyataja hapa nitajaza sever zenu bure nakaomba hapa ka laptop please.

 
Posted : August 20, 2024 6:07 am
Jailes Mwesigwa
(@jailes-mwesigwa)
Posts: 7
0.000
 

Ukimuwezesha  mwanamke moja hii lap top basi umeweza kijiji kizima

 
Posted : August 20, 2024 6:13 am
(@neema)
Posts: 28
 

Hii inafaa mimi dada Vero wengine wasubiri zawadi zengine.

 
Posted : August 20, 2024 6:15 am
(@sinyorita)
Posts: 4
0.000
 

Dada Vero huna baya  naomba hiyo pc kwasabu mimi bado sijapata kazi ujue sister wangu na hii pc ni muhimusana yaani.

 
Posted : August 20, 2024 6:19 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@sniper Chuo gani unasoma na mwaka wangapi?

 
Posted : August 20, 2024 6:36 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@bila-bila Taja usijali.

 
Posted : August 20, 2024 6:37 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@jailes-mwesigwa Hiko kijiji kinaitwaje ulipo?

 
Posted : August 20, 2024 6:39 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@neema 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

 
Posted : August 20, 2024 6:39 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@sinyorita

1.)Niambia kwanini unahitajo hiii 💻

2.Kwanini asipewe mtu mwinine upewe wewe..

 
Posted : August 20, 2024 6:41 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Jamani jamani nawaombeni sana kujibu maswali yangau vizuri msini zuge hapa

 

1.)Niambia kwanini unahitajo hiii 💻

2.Kwanini asipewe mtu mwinine upewe wewe..

 
Posted : August 20, 2024 6:43 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@nalembi)
Posts: 3
0.000
 

Dada yangu Veronica naomba unipe hiyo laptop juu ya nini nasema hivyo mimi niko huku Congo tunapitia magumu ya mingi kama unanipatia haka katanisaidia sana.

 
Posted : August 20, 2024 7:05 am
Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

My love hii pc inanifaa mimi  Gemimah  usimpe mtumwingine kwasababu katika watu wote waliko hapa mimi pekee ndo sina laptop jamani eeh.

 
Posted : August 20, 2024 7:10 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@nalembi Pole kwamagu nayopitia Mungu awasaidie.

 
Posted : August 20, 2024 7:14 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@jemima How sure you are?

 
Posted : August 20, 2024 7:15 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@jemima Dhibitisha.

 
Posted : August 20, 2024 9:03 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Hii bado ipo kama unahitaji njoo hapa jibu maswali yangu.

 
Posted : August 22, 2024 4:31 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

@sniper Sawa kama kweli nafatilia nitakupa.

 
Posted : August 22, 2024 8:48 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@veronica-victor Nimekutumia kwenye namba yako ya whatspp

 
Posted : August 22, 2024 9:03 pm
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 

@veronica-victor Asante sana,Nungu akubariki.

 
Posted : August 22, 2024 9:04 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
image
 
Posted : August 23, 2024 5:36 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 

Tayari ukipokea niambie.

 
Posted : September 5, 2024 4:36 am

Digxam

FREE
VIEW