Notifications
Clear all

Ogopa Matapeli Wajasiriamali Acheni Kukodi Fremu ili kufungua Biashara ni Utamaduni Umepitwa na Wakati.

8 Posts
7 Users
2 Reactions
99 Views
Jayleen
(@jayleen)
Posts: 14
Seller
Topic starter
 
image

 

 

Leo nataka niwape soma  watu wote msiokubali madadiliko kwenda na wakati kama bado unawaza kufanya haya chini ujue bado unawaza kizamani sana.

Hii sio kwa wajasiriali  tu hata baadhi ya wanunuzu.

 

Jamani eeh, kukodi fremu ufungue duka unapoteza hela zako. Somo hili kichwa cha habari hii kinahusika.

Hii tabia imekithiri sana hapa nchini. Utakuta mjasiriamali analipa pesa nyiiiingi kulipia chumba cha duka akitarajia kupata pesa nyingi, ni kosa kubwa sana.

Njia zifuatazo zinaweza tumika badala ya kumfadisha landlord's.

1.Lipia hapa upate Seller  access ya  

2. Tangaza biashara yako hapa

3.Pokea pesa yako

4.Derivery mizigo ya watu.

5.Wanunuzi pia bei zinapungua ukilinganisha na maduka.

 

Kunabadhi ya watu wanasingizia utapeli mtandao wanadai kila platform ya online ni utapeli hawa watu wakupuuza wana agenda zao za siri,utafiti nilifanya watu wanaotapeliwa mtandaoni wengiwao ni

a)patapeli.  

b)Wapenda vitu vya bei rahisi sana.

C)Uelewa ndogo wa online business.

 

Manunuzi salama ya online kama wewe ni mgeni kwenye hizi biashara hakikisha unanunua kwenye platform zifutazo

1.Jina la biashara ni muhimu likiwa limesajilia kisheria.

2.Jina la kampuni ni muhimu ikiwa na usajili kisheria

3.TIN number

4.Account bank 

5.Au Collection account kutoka kwenye makampuni ya simu.

6.Muda wa platform pia ni muhimu sana. 

7.Usitume pesa kwenye line ya simu ya mtu binafsi hakikisha unalipa kwakutumia jina la biashara au kampuni,

8.Usipende mikopo nfano mtu anakuambia lipia hela ya usafiri nikutumie mzigo utalipia ukifika.

9.Usinunue bidhaa za bei rahisi sana kupitika kiasi

10,Tumia hii plaform kufanya manunuzi nfano mtu anauza bidhaa zake mtandaoni na wewe unahitaji lakini unaogopa mwambia apost biashara yake hapa.

 

Kama unataka kufanya online business au kununua lakini unagopa kutokana na maneno unayoyosikia kutoka kwa watu au umewai kutapelia naomba uje hapa chini kwenye comments section uniambie maoni yako.

 

 
Posted : August 19, 2024 9:08 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
 

Asante sana kwakuliona hili na kutoa elimu ya online business,ukweli umeongea hata mimi watu wananitumia ujumbe baadhi ya watu wanamashaka na kama platform yetu ni legit lakini pia napokea jumbe nyingi mitandaoni ya utapeli kutoka kwa matapeli sasa kwa mazingira haya inatakiwa elimu itolewe ili watu wajue tofauti ya mateli na online business.kwakifupi kuna matapeli wanachafua hii online business sisi kama Digxam tutakuwezesha utoe elimu kwa watu.

 
Posted : August 19, 2024 9:22 am
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 

@veronica-victor Uko sahihi

 
Posted : August 19, 2024 9:42 am
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 

Mimi nilitapeliwa lakini sio online Bali ni mtaani.

 
Posted : August 19, 2024 9:43 am
Bila Bila
(@bila-bila)
Posts: 6
Customer Current Balance 5,000,000
 

Dada kuna utapeli wa aina nyingi sana online kuna badhi ya watu wanauza vitu vibofu au fake items yaani dada yangu usiombe kukutana nao wao wana derivery bila shida ila kipigo kiko palepale 

 

Mimi nilinunua Gari kwa mtu akiniuzia gari bovu lilinitesa sana baada ya kugundua kuwa nimepigwa ikabidi na mimi niliuze kwa mtu Kisha nilaagiza gari kuoitia hapa ndio narumia hadi leo 

 

Siku nyingine tena nikanunua simu mbovu online bila kukua jamaa aliituma fasta kwenye basi kumbe simu mbovu haifai nikaitupa toka siku hiyo kila kitu natumia hii platform yenu naipenda sana.

 
Posted : August 19, 2024 10:05 am
(@gemimah)
Posts: 6
Deposit 200,000
 

Hawa jamaa wanarudisha nyuma sana yaani.

 
Posted : August 20, 2024 7:35 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
 

Kuna watu watakupinga.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : August 23, 2024 8:00 am
Kandida
(@kandida)
Posts: 23
0.000
 

Wamezidi siku hizi

 
Posted : September 11, 2024 5:26 pm

Digxam

FREE
VIEW