Kama unahitaji kitu chochote kutoka Japan 🇯🇵 fanya haraka Lipia kabla ya mzigo au container la mwezi huu kuondoka hapa.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Mzigo wangu utakuwe boss?
Safi sanaa bro!
Vinanda vyangu naomba uvipakie vyakwanza J.
Camera yangu boss imelipiwa pesa zote sidaiwi.
Asante kwa taafira.
Asante kwa maoni yenu,mizigo yote tutaipakia msiwe na wasiwasi.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
@ubuntuscofield Ziko wapi?