Notifications
Clear all

Vacation Notoa Offa ya Watu 10 Kwenda Vacation, Holiday,Mapunziko nchini Africa Kusini

118 Posts
44 Users
46 Reactions
491 Views
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
image

Natafuta watu 10 watakaokuwa tayari kusafiri kutoka Tanzania na kukutana na mimi   Africa kusini Durban.

#Muda

Tutakaa kunda wa  wa siku tano tu,nimefanya book ya tarehe 05/09/2024 

#Mada 

kujadili mambo mbalimbali kuhusu mtanda wote wa digxam,Kwasasa niko Japan nitaondoka japan moja kwamoja Africa Kusini kisha nitakuja huko Tanzania na kurudi Japan.

#Sehemu Tutafika 

uShaka Marine World ni sehemu mzuri sana unaweza ku goole nakupaangalia.

#Sifa za waombaji:

1.Jisajili

2.Jaza hii Form  kisha Comment kwenye hii thread 

3.Kigezo cha kwanza tutaangalia muda ambo umejisajili,nfano watu wawili wakituma maombi let say moja kajisajili leo mwingine alijisajili jana tutanchukua aliejisajili jana.

4.Pia ukiwahi ku comment hapa chini.

5.Passport kubwa ya kitabu.

6.Chanjo ya Yellow fever 

image

4.Umeshikiri mambo mangapi kuchangia hoja mbalimbali za kibiashara au kununua bidhaa kupitia kwenye app hii kutoka kwa wauzaji waki sehemu mbalimbali.

5.Pasport kama huna ni juu yetu.

6.Tiket ya ndege kwenda na kurudi

7.Chakula 

8.Malazi

9.Posho

10.Mchakato utafanyika ndani ya siku 10 kuanzia leo tarehe 05/08/2021 ,washindi watatangazwa tarehe 15/08/2024 kuwa wa kwanza. 

Imedhamini na Digxam wote mnakaribishwa.

Posted : August 5, 2024 7:32 am
Kabanza
(@kabanza)
Posts: 14
0.000
 
Sister mimi hata passport nayo naomba hii trip niwemo. 

Posted : August 5, 2024 8:13 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
NJia peke ya kutuma maombi yako ni comment yako hapa.

Posted : August 5, 2024 8:23 am
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 38
Deposit 100,000
 
Niko tayari

Posted : August 5, 2024 8:33 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kabanza Karibu sana.

Posted : August 5, 2024 8:38 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@ngaliba Karibu sana asante unaweza kuwa moja wapo.

Posted : August 5, 2024 8:41 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Omega
(@omega)
Posts: 45
0.000
 
Naomba niwemo kwenye list

Posted : August 5, 2024 8:48 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 55
Admin
 
@omega Karibu sana.

Posted : August 5, 2024 8:49 am
Kilimanjaro
(@kilimanjaro)
Posts: 36
 
Niko tayari 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 

Posted : August 5, 2024 8:53 am
Kilimanjaro
(@kilimanjaro)
Posts: 36
 
Niko tayari 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 😍 🤩 

Posted : August 5, 2024 8:53 am
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
 
HELLO

Posted : August 5, 2024 9:06 am
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
 
Naamini sifa nanazo

Posted : August 5, 2024 9:06 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kilimanjaro Safi sana.

Posted : August 5, 2024 9:12 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kilimanjaro Karibu sana.

Posted : August 5, 2024 9:13 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kaganda Shocti Karibu sana.

Posted : August 5, 2024 9:14 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kaganda Aaah wewe tena.

Posted : August 5, 2024 9:15 am
Sabini
(@sabini)
Posts: 34
0.000
 
Naweza kusafiri na mwenza wangu?

Posted : August 5, 2024 10:03 am
Furaha
(@furaha)
Posts: 31
 
Kuna malipo yoyote?

Posted : August 5, 2024 10:06 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@sabini Yuko wapi kama ni member hapa Hakikisha nacoment hapa,

Posted : August 5, 2024 10:08 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@furaha Hapana.

Posted : August 5, 2024 10:09 am
Erickson
(@erickson)
Posts: 20
Car Dealers
 
Sisi wa mkoani vipi inatuhusu?

Posted : August 5, 2024 10:17 am
Moderator reacted
Juma Sanka
(@juma-sanka)
Posts: 28
 
Safi sana pamoja sana.

Posted : August 5, 2024 10:20 am
Moderator reacted
Suzani
(@suzani)
Posts: 18
0.000
 
Noted

Posted : August 5, 2024 11:46 am
Moderator reacted
Jailes Mwesigwa
(@jailes-mwesigwa)
Posts: 7
0.000
 
Asante sana dada yangu.

Posted : August 5, 2024 12:27 pm
Moderator reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Jasusi Mweusi
(@jasusi-mweusi)
Posts: 42
0.000
 
Nipo

Posted : August 5, 2024 12:40 pm
Moderator reacted
Geofy Muhagama A
(@geofy-muhagama-a)
Posts: 13
 
Hello

Posted : August 5, 2024 4:05 pm
Moderator reacted
GP Logistics
(@gp-logistics)
Posts: 131
Seller
 
Nitawapoke karibuni sana.

Posted : August 5, 2024 4:09 pm
Faraja
(@faraja)
Posts: 27
0.000
 
Red red wine!

Posted : August 5, 2024 4:14 pm
Lilian Katabaro
(@lilian-katabaro)
Posts: 19
 
@faraja Fure vibe wanangu.

Posted : August 5, 2024 4:18 pm
Lilian Katabaro
(@lilian-katabaro)
Posts: 19
 
safi sana wanangu.

Posted : August 5, 2024 4:19 pm
Moderator reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@lilian-katabaro Asante sana.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:22 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@erickson Utalipiwa gharama za usafikiri kutoka ulipo hadi dar.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:24 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@juma-sanka Umesemake boss.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:24 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@suzani Karibu sana.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:25 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@jailes-mwesigwa Asante kushiriki.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:26 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@jasusi-mweusi Asante sana.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:27 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@geofy-muhagama-a Karibu sana.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 5, 2024 4:29 pm
 Good
(@good)
Posts: 18
0.000
 
Nimepa zoom pako vizuri.

Posted : August 5, 2024 4:32 pm
admin reacted
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 
Ngoja nianze kufanya mazoezi ya salam,Ninjani Comasava.

Posted : August 5, 2024 4:36 pm
admin reacted
meruly
(@meruly)
Posts: 31
Deposit 200,000
 
Ozaaa!

Posted : August 5, 2024 4:38 pm
admin reacted
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@faraja Full vibe !!

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:40 pm
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@good Umeona eeh

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:41 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@kamau 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:42 pm
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@meruly 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:43 pm
 Emma
(@emma)
Posts: 15
Service Provider
 
Hii imekaa vizuri sana.

Posted : August 5, 2024 4:45 pm
admin reacted
(@sauda)
Posts: 4
0.000
 
Tundoke na Custer kama vipi 

Posted : August 5, 2024 4:48 pm
Innocent
(@innocent)
Posts: 47
Deposit 50,000
 
cc @kababdwa

Posted : August 5, 2024 4:50 pm
admin reacted
 Siah
(@siah)
Posts: 7
0.000
 
Idadi ni ngogo sana kama vipi ongeza kidogo.

Posted : August 5, 2024 4:52 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@emma 🤩 🤩 🤩

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:55 pm
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@sauda Wazo zuri sana.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:56 pm
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@innocent 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:57 pm
admin
(@admin)
Posts: 250
Admin
 
@siah 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

Posted : August 5, 2024 4:57 pm
Natasha Kazimoto
(@natasha-kazimoto)
Posts: 19
Deposit 200,000
 
Siwezi pata nafasi hadi mwezi 12.

Posted : August 5, 2024 5:00 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@natasha-kazimoto Usijali next time.

Posted : August 5, 2024 5:03 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@siah Noja tuone kama kampuni itaongeza bajeti

Posted : August 5, 2024 5:05 pm
(@kabandwa)
Posts: 35
0.000
 
Hahoooo hii sio ya kukosa,wabongo  tunaogopa kusafiri

kwani lugha gani wanatumia huko?

Posted : August 5, 2024 6:11 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@natasha-kazimoto Pole next time itajiunga.

Posted : August 6, 2024 6:01 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kabandwa Unaogopa nini?

Posted : August 6, 2024 6:04 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 71
Deposit 50,000
 
Habari Dada Vero 

Posted : August 6, 2024 6:07 am
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 38
Deposit 100,000
 
Safi sanaa.

Posted : August 7, 2024 8:52 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@sniper Mzuri karibu sana asante kushiri.

Posted : August 7, 2024 8:55 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@ngaliba Karubu sanaa 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗 🤗

Posted : August 7, 2024 8:55 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
Hii ni babari njema,Digxam imekubali ombi letu la kuongeza idadi ya watu kutoka watu watano hadi 10 watakao chaguliwa kwenda kutembea nchini Africa kusini, makofi mengi na pongezi kwa uogonzi!

Posted : August 7, 2024 8:59 am
(@alumando)
Posts: 13
Deposit 100,000
 
@veronica-victor Waoh safi sana!

Posted : August 7, 2024 9:02 am
(@alumando)
Posts: 13
Deposit 100,000
 
Natamani tukutane uso kwa uso Africa kusini@veronica-victor.

Posted : August 7, 2024 9:03 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@alumando Tukikutana uso kwa uso utanambia nini sasa?

Posted : August 7, 2024 9:06 am
Alumando reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@alumando)
Posts: 13
Deposit 100,000
 
@veronica-victor 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 🌹 ❤️ 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 🥂 Nakupenda.

Posted : August 7, 2024 9:09 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@alumando 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Iyoooh! alafu na Mumewangu anakuangalia ukisema hiyo?

Posted : August 7, 2024 9:12 am
Alumando reacted
(@alumando)
Posts: 13
Deposit 100,000
 
@veronica-victor Mambo ya huku kazini yanamuhusu nini sasa?

Posted : August 7, 2024 9:16 am
Rosa Lia
(@rosa-lia)
Posts: 27
Unlimited Member
 
Hello @veronica-victor 

Posted : August 7, 2024 9:21 am
Serengeti Premium Lager
(@serengeti-premium-lager)
Posts: 8
0.000
 
Ukimaliza mchaka wa kupata washindi naomba unitag i see  kila mshindi nitampa zawadi ya bia 10 za Serengeti.

Posted : August 7, 2024 9:33 am
Khadija Omary
(@khadija-omary)
Posts: 11
0.000
 
@serengeti-premium-lager 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍

Posted : August 7, 2024 10:01 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Khadija Omary
(@khadija-omary)
Posts: 11
0.000
 
Natoa taarifa kwamba na naenda hakuna kama ya rohomba au rohomzuri inaweza kata jina langu,@veronica-Victor kaanzi hii platform kwa tabu sana nikatia moyo tuko waili leo mtu aniambie chochote naenda Vero natoa taarifa mie. 

Posted : August 7, 2024 10:05 am
Aginess Mkugwe
(@aginess-mkugwe)
Posts: 12
Deposit 50,000
 
@khadija-omary Maisha yanakasi sana sikuamini@veronica-Victor kaondoka hadi nchini bila kutuaga jamani lolo.

Posted : August 7, 2024 10:10 am
Tanzania Safari Lodges
(@tanzania-safari-lodges)
Posts: 28
Service Provider
 
@aginess-mkugwe Hata salamu sikuhizi sijibiwi jamani tupo mashositors wako njoo kama unalakusema hii safari inatuhusu jamani.

Posted : August 7, 2024 10:15 am
Tanzania Safari Lodges
(@tanzania-safari-lodges)
Posts: 28
Service Provider
 
@aginess-mkugwe Umeona eeh.

Posted : August 7, 2024 10:25 am
Jenifa
(@jenifa)
Posts: 17
Deposit 200,000
 
Basi inatosha bandugu  turudi kwenye mada.

Posted : August 7, 2024 10:32 am
Jenifa
(@jenifa)
Posts: 17
Deposit 200,000
 
@rosa-lia Acha na hizo mambo

Posted : August 7, 2024 10:35 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@alumando Acha ujinga.

Posted : August 7, 2024 10:58 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@rosa-lia Karibu.

Posted : August 7, 2024 10:58 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@serengeti-premium-lager Aaah!

Posted : August 7, 2024 10:59 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@aginess-mkugwe What are you raising madam Aginess?

Posted : August 7, 2024 11:01 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@aginess-mkugwe What are you raising madam Aginess?

Posted : August 7, 2024 11:02 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@tanzania-safari-lodges Na nani?

Posted : August 7, 2024 11:04 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@jenifa Karibu umejiunga kwenye mchakato tayari kama unasifa utachaguliwa.

Posted : August 7, 2024 11:05 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
Honorable Members,Naomba niwakumbushe idadi ni watu 10 tu kati ya watu wote mlioko hapa au mlio koment hapa,swala la ulazima wa mtu au mtu kulazimisha  kutokana na history zetu na urafiki wetu it cant work here,vigezo na mashari kuzingatiwa naomba members tuacha kushinikiza nakupanga matokeo tuache majaji watuletee idadi ya watu 10 kisha twendele na utaratibu mwingine.

Kama kuna mtu ana hoja nje ya huu mchakato wa safari ya kwenda Africa Kusini unaweza kuanzisha substation motion au kufungua thread mpya kwajili ya jambo hilo,hii  thread ni kwajili ya kupata watu 10 kwajili ya kwenda kutembe nje ya nchi.

 @Moderator be in order please,kama kuna mtu anavunja kanuni za mijadala kwenye hii platform utaratibu uko wazi  , Thank you. 

Posted : August 7, 2024 11:14 am
Aginess Mkugwe
(@aginess-mkugwe)
Posts: 12
Deposit 50,000
 
@veronica-victor  Kwaiyo unamwambia Moderator atuwe kwenye black list au unampa maelekezo gani kwani sisi ni vibaka?

Posted : August 7, 2024 11:54 am
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@aginess-mkugwe Kwani madai yako ni yapi?

Naomba unieleze pia waeleze  na watu wanaosama hizi msg zako.Ukishindwa kuniambia madai yako nitakufungia kuchangia kwenye hii thread, acha utoto.

Posted : August 7, 2024 12:00 pm
Gen Zs
(@gen-zs)
Posts: 10
0.000
 
Habari dada!

Posted : August 7, 2024 1:03 pm
Moderator
(@moderator)
Posts: 111
Moderator
 
@veronica-victor Sawa napitia comments.

Share pages zetu ujipatie Zawadi kemkemke,kama Laptops,Simu Janja,Saa za smart nk,kujiunga Bonyeza Link

Posted : August 7, 2024 2:21 pm

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@kabanga)
Posts: 2
0.000
 
Tuko watoto wamjini tuhizo furusa tukatoe matongotongo.

Njani muhlez!

Posted : August 7, 2024 2:47 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
@kabanga Karibu sana.

Posted : August 8, 2024 10:26 am
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 38
Deposit 100,000
 
@gen-zs Asante.

Posted : August 8, 2024 2:28 pm
Veronica Victor
(@veronica-victor)
Posts: 185
Admin
Topic starter
 
Habari Guys,

Unapo coment hapa kwenye hii thread nisawa nakuingia kwenye droo ya mchakato lakini ukiendelea comment kwenye content mbalimbali au kufungua thread nakunzisha content zako  kupitia kwenye hii website unajiweka kwenye nafasi mzuri ya kushinda safari ya kwenda South kwenye mapunziko.

share hii kwenye mitandao ya kijamii ujiongezee nafasi ya kushinda.  @discover-true-love-today-ht @joseph-king @kandida @mr-nasir @siah 

Posted : August 9, 2024 9:59 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 55
Admin
 
Watu 10 waliotimiza vigezo Wote mliopigiwa simu naomba tukutane kwenye Platform ya Matembezi (South Africa 2024)   tumewatumia mwaliko jinsi ya kujiunga fanya hivi.

1.)Ingia kwenye account yako

2.) Kubali kupokea mwaliko, utakapokubali mwaliko utakuwa umejiunga kwenye hii platform ya (South Africa 2024)

3.)Tuma ujumbe au changia mada tujadili pamoja kuhusu hii safari yetu.

4.)Kama ujabahatika kuchaguliwa usijali kuna offa nyingi zinaendelea kutangazwa  endelea kushiriki mijadala mbalimbali sambamba na kuuza na kununua bishara zako kutoka kwa wauzaji bidhaa kutoka kwenye mataifa  mbalimbali ili ukidhi vigezo vya kushiri mashindano mbalimbali yanayo ratibiwa na Digxam

5.Kama uko kwenye list ya watu 10 unahisi kutokupata nafasi ya kusafiri naomba utoa taarifa mapema ili hii nafasi mtumpe mtu mwingine.

6.Hakuna gharama yoyote wa mchango hii safari imedhamini wa Digxam kwa asilimia 100 kwa members wote.

7.)Asante wote kwa kushiriki.

Posted : August 17, 2024 8:22 am
Kabanza
(@kabanza)
Posts: 14
0.000
 
@digxam Asante mimi tayari nime comment kwenye hiyo platform

Posted : August 17, 2024 8:25 am
Digxam reacted

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week.

(@full-dose)
Posts: 13
0.000
 
@digxam Hii mbona kimya kimya?

Posted : August 17, 2024 8:32 am
Kabanza
(@kabanza)
Posts: 14
0.000
 
Safi sana.

Posted : August 17, 2024 8:33 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 55
Admin
 
@kabanza Karibu sana.

Posted : August 17, 2024 8:35 am
Digxam
(@digxam)
Posts: 55
Admin
 
@full-dose Hii imetangazwa muda

Posted : August 17, 2024 9:38 am
Page 1 / 2

Digxam

FREE
VIEW