Sikili hii video nilituma Tiktok kama wewe ni fanya biashara unasafiri kwenda China kuwa makini sana.Â
Â
Bora kuagiza nchi zingine,kuna utapeli japokua sio wa moja kwa moja umenikuta nadhani pia kunawatu wengi wanakutana na hizi changamoto.
Â
Sikikiza video hapo chini.
Â
Umeandika kama unakimbizwa mdogo wangu,bidhaa fake mbona siojambo la kushangaza kutoka upande huo.🙀🙀🙀🙀🙀
Asante kwa taarifa.
Lakini si bei rahisi dada yangu tatizo liko wapi?wanongo tunapenda vitu vya bei poa nchina anakusikiliza kulingana na bajeti yako.
Â
Siwezi kununua kitu china Najua hii michezo kitambo.
Ukavaa nguo za ndani nakuja tarifa hizi?
Pole sana.
I seeÂ
I seeÂ