Notifications
Clear all

Natafuta Hilux Pick up kutoka Japan

3 Posts
2 Users
1 Reactions
219 Views
1
Topic starter

Habari!

 

Mimi ni ngeni hapa natafuta Hilux Pick up nitapata kwa bei gani?

3 Answers
0

Salama.

Hilux pic up aina gani na mwaka gani?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

0
Topic starter

Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu. Nimekuwa nikisikia kuwa ukinunua gari ambalo lina miaka zaidi ya kumi kuuoka nje. Kunakuwa na kodi ya uchakavu (Excise duty due to age).

Lakini nimefuatilia kwenye kikokotoo cha kodi TRA kuhusu kodi hiyo ya uchakavu nimeona kuwa gari ambayo ni mpya au ni miaka ya karibuni inakuwa na kodi kubwa ya uchakavu kuliko gari la zamani.

Mfano Pick Up  ya 2009 lenye specification sawa na la mwaka 2014 kodi ya uchakavu kwa Gari  la 2014 ni kubwa kuliko la 2009. Naomba kufahamishwa hapa imekaaje.

0

Unatafuta Gari la mwaka gani boss ?

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿


Digxam

FREE
VIEW