Spark Plug zinauzwa kwa bei ya jumla,ziko hapa Japan.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
@jonson-john Kuboresha huduma uliza sawali,Post au Comment,naku like post hii.