UMUHIMU WA MKULIMA KUTUMIA MBOLEA YA NUTRIPLANT.
Kuna faida nyingi ukitumia mbolea ya asili isiyo na kemikali.
Katika kujali afya yako na jamii yako, mbolea nyingi za kemikali zinakuwa na kiwango kikubwa cha nitrate ambayo hutengeneza heavy metals ambazo husababisha asidi ya mwili kwa mlaji na kupelekea kupata saratani.
Green World international inakuletea mbolea ambayo imetokana na mchanganyo wa asili ambayo inaweza kutatua matatizo yote yanayowakumba wakulima pia watumiaji wa mazao ya wakulima.
SIFA ZA MBOLEA HII
• Huongeza kinga ya mimea dhidi ya Magonjwa na Wadudu wanaoshambulia mazao.
• Kuboresha udongo na wadudu wanaoboresha udongo mfano minyoo ya ardhini.
• Hukuza mazao kwa haraka na kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao kwa zaid ya 40%
• Kuimarisha photosynthesis
• Kuboresha ukuaji wa mizizi ya mimea, shina na majani.
• lnaboresha ubora na ladha ya mazao kwa kiasi kikubwa.
• Huongeza uwezo wa mmea kupambana na ukame, utasa maana inatunza unyevunyevu ardhini.
• Husafisha mirija ya mfumo wa upitishaji wa maji, chakula na madini mbalimbali katika mmea, Chupa ya lita 1= Tshs 90,000/= unapuliza ekari 3-5 na chupa ya 100mls =Tshs 20,000/=. Kipimo ni 20mls za mbolea kwa maji lita 20. PIA TUNAHITAJI MAWAKALA WA KUUZA MBOLEA HII MIKOA YOTE YA TANZANIA HASA WENYE MADUKA YA PEMBEJEO. TUPO MWENGE-MPAKANI( DSM), WAKULIMA WA MIKOANI TUNATUMA KWA MABASI UKILIPIA GHARAMA ZA MBOLEA.TUPIGIE/WHATSAPP:0718402758/0752977372, FACEBOOK/INSTAGRAM ACCOUNT- REJESHA AFYA
Posted : June 26, 2024 4:14 pm