TENGENEZA POST TAG YA JINA LA BIASHARA YAKO AU JINA LOLOTE KWA BEI YA OFA.
Hii ni mpya!
Unaweza kutumia jina la Biashara yako,Jina lako Mwenyewe, Jina la Sehemu ulipo au jina la bidahaa unazozitangaza hapa kwenye Post zako zote utakazozi post hapa, kwenye majukwaa yote.
Watumiaji wenye Membership au Vifurushi.
Kijua Bei za Vifirushi bonyeza Hapa.
..................................................................................................................................................................................................................
Jinsi ya kupata Post Tags kwa Subscribers ,
1.Coment hapa chini.
2.Andika Jina unalotaka kutumia.
3.Gharama ni 30,000 kwa Mwaka.
4.Litakuwa lako muda wa mwaka mzima.
4.Bei inaweza kupanda bila maelezo.
5.Wahi mapema kabla ya offa kuisha.
Kama unaswali lolote kuhusu Tag nakaribisha comments chini,utajibiwa ndani ya muda mfupi.
Kulipia Post Tag zako Bonyeza Hapa.
By utawala.
Digxam Team.
Simba Nguvu Moja!
Nailipia kwa miaka mitano.
Tayari imelipiwa chagua jina lingine.
Muda gani imelipiwa?
OK.
Naomba unitengezee "Bukoba Traders"
TayariNaomba unitengezee "Bukoba Traders"
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Sorry i mean Kagera Traders
@kashangaki Tayari Kagera Traders,kwakifurishi chako unaweza kumiliki Post tags zote mbili na zaidi ya hizo.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Sawa.
Jemima Fashion
Ngoja nitafute jina langu la biashara unisajili kama post Tag mkuu.
Ngoja nalianda jina.
Napata Post tags ngapi mkuu?
Chama
Asante kwa Taarifa.
Safi sana.
Iko sawa ngoja nitafute jina kwanza.
Iko sawa ngoja nitafute jina kwanza.
Punguza bei i see,
Uungeuza 10,000 tungenunua wengi.
@kashangaki Tayari.
Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.
Nitenegeze Kilimo na Ufugaji.