Notifications
Clear all

SIMBA NGUVU MOJA TAARIFA KWA UMMA

27 Posts
18 Users
12 Reactions
243 Views
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 
B8627DC5 D4AD 4CD8 A8E9 582D219DB4A3
 
Posted : June 15, 2024 2:37 pm
Nana, Dura, Mzawa and 2 people reacted
Zaituni
(@zaituni)
Posts: 21
Karibu! Available 10,000
 

Mnamatatizo sio bure,kwaiyo mkaona mtuletee habari za Simba makolo hapa kumbe ndio kazi mnafanya?

 
Posted : June 15, 2024 2:47 pm
Kaganda reacted
(@karuta)
Posts: 27
Available 100,000
 

@zaituni Hawa jamaa wameanza uhuni mapema hii.

 
Posted : June 15, 2024 3:18 pm
(@karuta)
Posts: 27
Available 100,000
 

Habari za Simba zinatuhusunini?

 
Posted : June 15, 2024 3:19 pm
Zulu
 Zulu
(@zulu)
Posts: 27
Balance 0.000
 

@karuta Eti taarifa kwa umma au ulitka kuandika uma? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

 
Posted : June 15, 2024 3:24 pm
Suzani
(@suzani)
Posts: 18
Balance 0.000
 

Ilanye mnamatatizo sijawai kuona mtu kajipostia habari zake mnamuanda simpost zakwenu nayie post makombe yenu kwani kawazia?

 
Posted : June 15, 2024 3:32 pm
Kaganda reacted
(@kidedea)
Posts: 15
Balance 0.000
 

Mkileta habari hizi hii platform mtaiua mapema acheni ujinga nyie futaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

 
Posted : June 15, 2024 3:40 pm
Lucas
(@lucas)
Posts: 21
Buyer Car Dealers
 

@kidedea Nimecheka sana yaani platform ife kisa Yanga wamekosa pakuandika nyie punguza kidogo ujinga 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔 🤔

 
Posted : June 15, 2024 3:45 pm
Jemima
(@jemima)
Posts: 29
Deposit 200,000
 

Duh 🙄 utawajua tu kwakuongea sanaaa.

 
Posted : June 15, 2024 5:59 pm
Kaganda reacted
meruly
(@meruly)
Posts: 31
Deposit 200,000
 

@jemima 😆 😆 😆 😆 😊 😋 🤩 😘 😍 😛

 
Posted : June 15, 2024 9:11 pm
Kaganda reacted
Donatha Mshamba
(@donatha-mshamba)
Posts: 21
DIG-PESA
 

Asante kwa taarifa.

 
Posted : June 15, 2024 9:13 pm
Kaganda reacted
Josephe chacha
(@josephe-chacha)
Posts: 20
DIG-PESA
 

@admin kashirikiana na wahuni kufanya uhuni nakumbuka nipost picha ya Yanga baada ya muda ikafutwa na kati ya admin au moderators sasa leo nimekueleweni. 

 
Posted : June 15, 2024 9:17 pm
Kaganda reacted
Mzawa
(@mzawa)
Posts: 17
Karibu! Fish Admin
 

Tikisema tumipige kura kuna timu washabiki wake wataumbuka yaani wamechokambaya!

 
Posted : June 15, 2024 9:24 pm
Kaganda reacted
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@zaituni tumewaletea  habari za Simba wewe na nini?

 
Posted : June 15, 2024 9:28 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@karuta Siupite umekaribishwa na nani?

 
Posted : June 15, 2024 9:28 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@suzani Wanavituko hawa sijui nani kawaita?

 
Posted : June 15, 2024 9:30 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@kidedea Nyooo kwasabu ya gani?

 
Posted : June 15, 2024 9:32 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@jemima Umeona eeh.

 
Posted : June 15, 2024 9:33 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@donatha-mshamba Simba Nguvu moja.

 
Posted : June 15, 2024 9:34 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@josephe-chacha Koja ulale achana na Simba.

 
Posted : June 15, 2024 9:35 pm
Kaganda
(@kaganda)
Posts: 49
DIG-PESA
Topic starter
 

@mzawa Wanamatazo hawa sio bure.

 
Posted : June 15, 2024 9:36 pm
(@raviva)
Posts: 3
Deposit 50,000
 

Kwaiyo habari za Simba ndio zinafanya mlie  lie hivi?

 
Posted : June 16, 2024 6:31 am
(@kashangaki)
Posts: 20
DIG-PESA
 

@kidedea Acha ujinga sinfe Yanga wote.

 
Posted : June 16, 2024 6:52 am
Omega
(@omega)
Posts: 45
Fish Buyer
 

Kumekucha.

 
Posted : June 16, 2024 5:23 pm
Grace Ngalawa
(@grace-ngalawa)
Posts: 36
Deposit 200,000
 

Hii ni lini I see 

 
Posted : August 24, 2024 7:01 am
Khadija Omary
(@khadija-omary)
Posts: 13
Balance 0.000
 

Acha ujinga.

 
Posted : January 24, 2025 11:10 am
(@mama-kp)
Posts: 6
Balance 0.000
 

Hii mbona Habari ya Zamani sana.

 
Posted : March 16, 2025 9:02 am

Digxam

FREE
VIEW