Notifications
Clear all

Prepaid Miters HII SUBMITERS INAONDOA UTATA KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA NA MADUKA

4 Posts
3 Users
3 Reactions
493 Views
3
Topic starter

Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako.

 

Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana kiwango ulichoweka KWENYE Meter kuu ya Tanesco. Kisha HIZO TAKEN utaziingiza kwenye Submitter yako na umeme utarejea kama kawaida kwako. Utengeneza Wa Token unachukua nusu dakika.Kuna mwenye swali?

 

kAMA UNAHITAJI TUKUTANE KWENYE COMMENT SECTION.NIAMBIE SEHEMU ULIPO NIKUPE BEI.

image
image
Kachara November 1, 2024 7:02 am

@chama Mkuu habari hii submitter nitaipata kwa bei gani?

Chama Topic starter November 1, 2024 7:05 am

Bei inategemea na sehemu ulipo.

Kwani uko sehemu gani?

Chief GodLove Chief GodLove November 9, 2024 3:59 pm

@chama Niko Zanzibar.

Chama Topic starter November 9, 2024 4:06 pm

Zanzibar hatiki boss.


Digxam

FREE
VIEW