Kama Unahitaji Samaki au Chakula cha Kuku(1,) Weka Order Yako(2.)Lipia (3.)Pokea Mzigo Wako(4.)Tupe maoni yako.
Tuko hapa Tandale tunakata magari,kama unahitaji spare yoyote niulize nitakujibu.
Pamoja sana mkuu.
Cool!
i see
Nahitaji center lock ya mlango wa nyuma wa noah road tourer
@majalago Unataka ya mlango wa nyumba yaani boot sio hii yaku slide?
@majalago kwenye Gari hili kuna moja ya nyaya yenye njia mbili na njia nne hii ni mihimi sana lazima nijue ya njia ngapi kama unaweza ipige picha nitumir tusije kupishana.