Notifications
Clear all

HINO BUS LINAUZWA MNADANI LIVE KUTOKA JAPAN

20 Posts
9 Users
2 Reactions
1,121 Views
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
image
image
image
image
image
image
image
image
image
image
  • HINO BUS
  • MWAKA 20010
  • GARI LIKO JAPAN.
  • UKISHINDA MNADA UTASAFIRISHIWA GARI LAKO.
  • BEI YA KUANZIA 100ML KILA KITU HADI USHURU.
  • BEI NAONGEZEKA 5ML

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : June 3, 2024 7:24 am
Topic Tags
(@alumando)
Posts: 14
2.ml Balance
 
Abilia wangapi?

Posted : March 14, 2025 5:40 am
Ngaliba
(@ngaliba)
Posts: 39
2.ml Balance
 
Huu mwaka gani boss bilashaka umesea kuandika mwaka.

Posted : March 14, 2025 5:43 am
Lucy Walter
(@lucy-walter)
Posts: 20
2.ml Balance
 
Bilashaka ni used 

Posted : March 14, 2025 5:50 am
Jonson John reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
Posted by: @alumando

Abilia wangapi?

65

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 5:54 am

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
@ngaliba 2010

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 5:55 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
@lucy-walter Exactly

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 5:58 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 88
2.ml Balance
 
Hili Basi linashida yoyote?

Posted : March 14, 2025 6:02 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
@sniper No.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 6:05 am
Sniper
(@sniper)
Posts: 88
2.ml Balance
 
Mwisho wa mnada ni lini?

Posted : March 14, 2025 6:07 am

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
Baada ya siku 10

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 6:11 am
Bila Bila
(@bila-bila)
Posts: 8
Current Balance 5M
 
Nikishinda mnada utanisafirishia Gari langu na kulilipia ushuru kwa gharama zenu?

Posted : March 14, 2025 6:15 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
@bila-bila Yes boss!

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 6:17 am
Rola
 Rola
(@rola)
Posts: 4
Current Balance 700K
 
@Jonson-John inchaji Manyota kwema i see?

Posted : March 14, 2025 6:23 am
Jonson John reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
@rola Nipe Kazi boss wangu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 6:26 am

Bila Bila
(@bila-bila)
Posts: 8
Current Balance 5M
 
105

Posted : March 14, 2025 6:28 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
Posted by: @bila-bila

105

Asante kwa kufungua mnada, Hino Bus ni current bid 105ml  twendelee next Bid ni 110ml.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 6:33 am
(@uchebe)
Posts: 15
Available 20K
 
Nikishinda mnada Gari nitachukua muda gani kufika Hapa?

Posted : March 14, 2025 6:40 am
(@marioh)
Posts: 8
Available 20K
 
Muda gani gari kufika Dar

Posted : March 14, 2025 6:42 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 518
Seller
Topic starter
 
Mwezi moja tu.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : March 14, 2025 6:44 am

Share Pages on Social Media to Get a Free Phone .

Make Sure You are Registered On The Website,Subscribe to New Topics, Share Our Pages on Social Networks.

.