Notifications
Clear all

MADA UKOSEFU WA MADINI KWA NG'OMBE WA MAZIWA

5 Posts
5 Users
0 Reactions
191 Views
(@mifugotz)
Posts: 2
Balance 0.000
Topic starter
 

Madini ni kati ya virutubisho muhimu sana kwa ng'ombe, inapotokea ng'ombe hajapata madini ya kutosha huleta changamoto mbalimbali za kiafya ambazo pia huchangia mabdadiliko ya tabia.

Ng'ombe aliye kosa madini hupenda kula na kulamba vitu mbalimbali ambavyo sio chakula, mfano kula mifuko, kulamba lamba vitu tofautitofauti, lakini zaidi ng'ombe anaweza kuumwa kabisa na kukosa nguvu kwasababu ya upungufu wa madini.

Pia upungufu wa madini hushusha kiwango cha maziwa kwa ng'ombe anae kamuliwa.

Ushauri: Jitahidi kuwapa ng'ombe wako madini kila siku, kama sehemu ya chakula.

Kwa ushauri na elimu zaidi fatilia page zetu kwenye mitandao ya kijamii au fika ofisini tukufundishe mambo ya msingi kuhusu ufugaji.

Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, oppositw na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji aina ng'ombe wa maziwa wasiliana nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02(WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
mifugotz@gmail.com

YouTube: https://lnkd.in/gJb5rcw

Website link: https://lnkd.in/eYsNq3E

Google location: https://lnkd.in/euiHPCp

 
Posted : June 1, 2024 10:54 am
Sabini
(@sabini)
Posts: 36
Balance 0.000
 

Tupe kaelimu kidogo kuhusu mifugo 

 
Posted : June 2, 2024 6:11 am
(@kivumbi)
Posts: 5
Balance 0.000
 

Mkuu nakupataje kuna ushauri nahitaji unisaidie.

 
Posted : March 16, 2025 8:32 am
(@linda)
Posts: 8
Balance 0.000
 

Asante sana kwa huduma mzuri.

 
Posted : March 16, 2025 8:34 am
(@kuboja)
Posts: 3
Balance 0.000
 

Ubarikiwe sana.

 
Posted : March 16, 2025 10:33 am

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .


Digxam

FREE
VIEW