Notifications
Clear all

REPAIR TOYOTA IST NAWEZAPATA KWA BEI GANI

9 Posts
3 Users
1 Reactions
287 Views
0
Topic starter

Nataka kujua bei ya Toyota IST ya mwaka 2005 hadi usajili bei gaini?

8 Answers
1
image
image
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

0

14ml unata Toyota IST safi kabisa ikiwa na kilakitu chake.

  • Nitakubadilisha Tyre nakuweke kubwa size 15.
  • Rims kali size 15.
  • Redio kali.
  • wese nakutumia ikiwa full tank.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

0
Topic starter

Weka picha nione.

0
Topic starter

12ml mkuu tufanye biashara.

Jonson John Jonson John May 26, 2024 8:36 pm

Posted by: @rama

12ml mkuu tufanye biashara.

🙌🏿🙌🏿🙌🏿🤛🏿🤛🏿 Asante mkuu karibu tena.

Β 

0
Topic starter

Mwisho ngapi?

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.Β  Click Here .

0
Topic starter

Hello.

0

Huli Gari vipi limeuzwa au bado lipo?

0

HiiΒ  Toyota IST imeuzwa.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβœ… Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.βœ…βœ…πŸ‘πŸ’ͺπŸ™πŸΏ

Digxam

FREE
VIEW