Nitapata kwa bei gani used Japan?
Bei zake nikuanzia milioni moja na laki tano kwendelea inatagemea,kwani wewe unataka mpya au used?
Naweza pata picha.