@frank-jonathan-mwamboza Unapatikina wapi mkuu?
@frank-jonathan-mwamboza hii bei yake ni 8,000 tu.
@frank2016Β Kumbuka ni chaja bila waya hii bei,plus 1,440 VAT jumla ni 9,440 usafiri ni juu yako lakini kijua Tanga sehemu Gani nitaituma itakufikia.
Jisi ya kulipa mcheki @Admin atupe muongozo.