Notifications
Clear all

SOLD! NATAFUTA SIMU ORGINAL POPOTE DUNIAN.

22 Posts
8 Users
3 Reactions
955 Views
Upendo
(@upendo)
Posts: 11
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Kwa bajeti ya 400k napata simu Gani nzuri used Japan  na iwe portable maana spend simu kubwa SIPENDI SIMU FAKE ZA KICHINA nakaribisha ushauri


 
Posted : May 22, 2024 8:29 pm
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 546
100M Trade Bond
 

CC @Ally-Kanagawa


Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : May 22, 2024 8:38 pm
Erica reacted
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

Usafiri gani utaka kutumia 

  •  EMS siku sita.
  • Au container mwezi moja.
  • Naomba ujaze hii form

 

  1. Manufacturers :SAMSUNG A15
  2. Pattern number :SM-G991U 128GB  dual SIM(E SIM
  3. Color : Phantom violet
  4. 128GB
  5. 4GB Ram
  6. Android VERSION
  7. Color : Phantom violet
  8. IMEI: 358822630700149
  9. 40MBPsSabout.
  10. 5G. using 
  11. Battery .99% 

 

Simu mzuri sana original imetengezwa hapa na kampuni ya simu ya Softbank kwa matumizi ya ndani ya Japan.Maelezo zaidi jaza hii form

 

image
image
image
image
image

 
Posted : May 23, 2024 5:25 am
Erica reacted
(@erica)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

@ally-kanagawa mambo ya Ally Kanagawa sio mchezo.


 
Posted : May 23, 2024 5:30 am
(@erica)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

 

Shost kwema chukua hii iPhone X iko vizuri mno.


 
Posted : May 23, 2024 5:36 am

Upendo
(@upendo)
Posts: 11
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

@ally-kanagawa Tayari form nimejaza.

Naomba itumike njia ya Ems.


 
Posted : May 23, 2024 5:40 am
Upendo
(@upendo)
Posts: 11
0.000 Pay Cash
Topic starter
 

Posted by: @erica

-- attachment is not available --

 

Shost kwema chukua hii iPhone X iko vizuri mno.

Asante shost siku nyingine.

 


 
Posted : May 23, 2024 5:42 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

@erica Utafeli mtihani bila kusoma maelezo mteja kasema nataka simu original  🤣 🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 🤣 😎 kwema lakini?


 
Posted : May 23, 2024 5:46 am
(@erica)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

@ally-kanagawa Ebuni kwenda huko niache.


 
Posted : May 23, 2024 5:49 am
(@dubai-used-parts)
Posts: 7
10M Trade Bond
 

@erica nimechea kwa sauti 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣


 
Posted : May 23, 2024 5:54 am

corretion

(@erica)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

@dubai-used-parts Umecheka  nini na wewe ndio walewale.


 
Posted : May 23, 2024 5:57 am
Anamaria
(@anamaria)
Posts: 12
1k Pay Cash
 

Ukweli usemwe niligiza simu yangu hii hapa ilipasuka kioo ilindondoka umbali mrefu ikaanguka kwenye talisi upande wa kioo yaani simu ililia nilijua kioo kwisha lakini kio kikakreki lakini simu inadunda hadileo kioo ni kigumu hatari.

Ukija kwenye chaji ilanakaa sana mim sizimagi data pia na washa hotspot muda wote lakini sitembei na chaja wa pawa bank simu za Japan ni original wala sio Siri ungekua mzigo wa kkoo hapa tungesha asau na matanga.

63A040E6 3463 4EF4 B358 CD151483FFBD

 


 
Posted : May 23, 2024 6:10 am
Anamaria
(@anamaria)
Posts: 12
1k Pay Cash
 

Naomba unitafutie kioo huku hivi vioo vya huku kama karatasi sitaki.

 

image

 
Posted : May 23, 2024 6:18 am
(@erica)
Posts: 10
0.000 Pay Cash
 

OK


 
Posted : May 23, 2024 6:22 am
(@dubai-used-parts)
Posts: 7
10M Trade Bond
 

hii ni original 


 
Posted : May 23, 2024 6:25 am

exp

Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

Posted by: @anamaria

Naomba unitafutie kioo huku hivi vioo vya huku kama karatasi sitaki.

 

image

Nitakutimia fungua Thread ya hiki kioo. 

 


 
Posted : May 23, 2024 6:32 am
Anamaria
(@anamaria)
Posts: 12
1k Pay Cash
 

Sawa


 
Posted : May 23, 2024 6:33 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

Tayari nimekutumia mzigo.


 
Posted : May 25, 2024 4:01 am
(@emakinombo)
Posts: 3
0.000 Pay Cash
 

@ally-kanagawa hii ndo Simu inakilakitu poa


 
Posted : May 25, 2024 8:10 am
Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

@emakinombo Hapana simu kali ziko nyingi inategemea na bajeti yako.


 
Posted : May 25, 2024 10:17 am

Ally Kanagawa
(@ally-kanagawa)
Posts: 136
100M Trade Bond
 

https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/-waathirika-wakubwa-wa-simu-feki-wapo-mijini--2809448

😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Fungu hiyo habari ya mwananchi.


 
Posted : June 1, 2024 10:41 am
Hello Tanzania 🇹🇿
(@hello-tanzania)
Posts: 18
0.000 Pay Cash
 

@anamaria Hapa ni penyewe


 
Posted : December 16, 2024 8:18 am