Habari
TOYOTA NOAH.
GF- SR 40 G.
2000 MODEL.
COLOUR YOYOTE
1990 Engine Cc( 3S).
88,850 Kilometer KWENDA JUU.
Used Japan.
Nahitaji haraka sana. @Jonson-John@Joakimu@Makarius@Erickson@Sakura@Yuki@Karumi@Ryosuke-Nakai@Tokuworld@Hirano-Motohiro@
@jafet Hii Noah imekua lulu siku hizi.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿
Ipo hapa yardi imenyooka offa yako ikoje?
ok
Ngoja kidogo nakurudia.
Mtu wako yuko Seriously?
Ngoja niwacheki watu wa Durban kuna kipindi zilikuepo nyingi hapa.