Habari,mimi ni mkadalasi wa barabara za vumbi na lami,natafuta vitendea kazi.
Natafuta mashime ya kuchora mistari kwenye barabara baada kukamilissha matengezo.
Tunayo inatakiwa Rand 100k bei ya manunuzi.
Hapana nataka kubwa kidogo hii ni ndogo sana nataka truck mkuu.
Sawa naomba ulipie Trusted Membership nikuhudumie.
Ok