Notifications
Clear all

Used SA Toyota Fortune 2019

33 Posts
4 Users
0 Reactions
729 Views
0
Topic starter

Toyota Fortuner
Model year:2019-20
Engine:Diesel
Auto  
Bajet : 100m 

image
33 Answers
0

Habari boss,

Hii budget ni manunuzi usafiri na ushuru au ni manunuzi tu?

0
Topic starter

Kilakitu hadi registration. 

0

Sawa budget ysko ni ndogo manunuzi peke yake yanaweza fika 100ml kwa gari hili.

0
Topic starter

inaweka ikwa bei gani?

0

Sijui kama unataka nikutafutie bei lipia Membership ya Trusted Member nitakutafuti,kama kuna seller mwenye nayo tunaomba bei janani.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Kama kuna seller anayo je nitatakiwa kulipia membership pia?

0

Hapana sababu ya kulipia membership nikwaji ya huduma au kutafuta bei.

0
Topic starter

Sawa.

0
Topic starter

Inaweza kuchukua muda gani?

0

Muda gani kuhusu nini?

0
Topic starter

Kjua kama kuna mtu anayo.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

Siwezi kujua labda baada ya week moja.

0

Inabidi uvumilivu kidogo.

0

Ikitokae akawanayo mtu ambaye sio Seller  pia utapaswa kulipia membeship kwajili ya ukaguzi.

0
Topic starter

Sawa.

0

Naomba ujaze hii form kwenye sehemu ya namba ya simu weka namba ya whatspp.

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

0
Topic starter

Hii form ya nini?

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0

Seller kikuhitaji muda wowote hata kama uko offline nirahisi kukupata. 

Leta Tangazo lako la Biashara Tukutangazie kwa Gharama na fuu sana.wasiliana nasi:advertise@digxam.site au Whatspp +8180 2071 7421 or click here.

0
Topic starter

Sawa.

0
Topic starter

Tayari.

0

ipo inatakiwa 90ml.

0
20230301 155501
0
20230301 155527

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
20230301 135407
0
20230301 155540
0
20230301 155359
0
20230301 155352
0
Topic starter

90ml pamoja na ushuru?

0
Topic starter

Kimya ndugu.

PLACE YOUR ADS HERE!

Banners/Ads, Require any Further Information or a Quotation.  Click Here .

0
Topic starter

Kimya.

0

Naomba ulipie trusted Membe kisha twendelee 

0
Topic starter

Ikoje hiyo

0
Topic starter

Habari kwema jamani

Digxam

FREE
VIEW