Notifications
Clear all

REPAIR Nissan Dualis Urgently Wanted

21 Posts
5 Users
14 Reactions
700 Views
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
Habari naulizia used Nissan Dualis nitaipata kwa bei gani hadi hata Tanzania.

Posted : April 25, 2024 1:46 pm
EmmyName reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
image
image
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 27, 2024 5:14 am
EmmyName reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
Hii hapa inatakiwa 20ml kilakitu tunakujalia utalipa insurance tu na gharama za kutoka Dar kuja mkoani kama uko mkoani.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : April 27, 2024 5:16 am
EmmyName reacted
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
Naomba video please nilione vizuri.

Posted : April 29, 2024 3:31 am
EmmyName reacted
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
Kimya nitafutie nyingine basi hii naona kama imepauka Rangi

Posted : May 31, 2024 6:04 pm
EmmyName reacted

TANGAZA BIASHARA YAKO BURE UPATA VIERS 10K KWA WEEK .

Leta Biashara Yako Tukutangazie Bure.

Tuambie Unauza Biashara Gani Au Unatoa Huduma Gani na Unapatikana sehem Gani.

Baada ya Kujisaji Fungua Page Kisha comment hapo chini .

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
image
image
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : May 31, 2024 11:10 pm
EmmyName reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
image
image
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : May 31, 2024 11:12 pm
EmmyName reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
image
image
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : May 31, 2024 11:14 pm
EmmyName reacted
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
image
image
image

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : May 31, 2024 11:16 pm
EmmyName reacted
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
Sawa nimeona naomba nikupigie.

Posted : June 1, 2024 5:43 am
EmmyName reacted

SHINDA 50K KWAKUWA NA POSTS,LIKES PAMOJA NA VIEWS KWENYE CONTENT ZAKO .

Maelezo Zaidi Bonyeza Hapo Chini.

Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 450
 
@nana Kimya.

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

Posted : September 24, 2024 6:42 am
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
Next week mambo yatakuwa vizuri,uliniambia bei gani niandae?

Posted : September 24, 2024 6:45 am
EmmyName reacted
(@izgotovlen_yrst)
Posts: 5
Balance 0.000
 
Hii inaendaje mkuu?

Posted : September 24, 2024 6:46 am
EmmyName reacted
(@jafet)
Posts: 25
Car Dealers
 
Ninayo inatakiwa 23ml niko Mwenge?

Posted : September 24, 2024 6:58 am
EmmyName reacted
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
@jafet bei kubwa hivyo duh ebu weka picha tuone.

Posted : September 24, 2024 7:05 am

TANGAZA NA KUUZA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA MNADA WA KIDIGITAL .

Kwa 10,000 Unashiriki Minada Kwamuda wa Mwaka Mzima.

Shiriki Mnada Ujipatie Bidhaa Kwa Bei Nafuu Sana.

(@jafet)
Posts: 25
Car Dealers
 
IMG 20240924 WA0008
IMG 20240924 WA0007
IMG 20240924 WA0005
IMG 20240924 WA0006
IMG 20240924 WA0004
IMG 20240924 WA0003
IMG 20240924 WA0002
IMG 20240924 WA0001
IMG 20240924 WA0000

Model Nissan Dualis
Year 2008
Color black
Low millage
New tire
Price 23M Plus Usajili

Posted : September 24, 2024 7:13 am
EmmyName reacted
 Nana
(@nana)
Posts: 15
Balance 0.000
Topic starter
 
@jafet Sawa nimeona nitakurudia.

Posted : September 24, 2024 7:22 am
(@emmyname)
Posts: 35
Balance 0.000
 
@nana Umepata?

Posted : October 26, 2024 2:06 pm
(@emmyname)
Posts: 35
Balance 0.000
 
@jonson-john Hii bado ipo?

Posted : October 26, 2024 2:31 pm
(@emmyname)
Posts: 35
Balance 0.000
 
@jonson-john Hii kitu bado ipo?

Posted : October 26, 2024 2:32 pm

JIPATIE SIMU MZURI ORIGINAL KWA BEI YA RAHISI SANA.

Pata Simu Bei Rahisi Kutoka Japan,Kwamuda wa Week Moja Tu.

(@emmyname)
Posts: 35
Balance 0.000
 
@jafet Hivipi?

Posted : October 26, 2024 2:33 pm

Digxam

FREE
VIEW