Notifications
Clear all

Natafuta Generator used KVA 30

10 Posts
3 Users
0 Reactions
153 Views
(@west-london)
Posts: 7
0.000
Topic starter
 

Habari , natafuta generator used below 30KVA kwa matumizi ya Kituo cha mafuta  , lisiwe na matumizi makubwa ya mafuta na liwe rahisi kufanyiwa service ,haya ya china nimenunua mara 3  yanasumbua sana kwasasa naomba mnitafuti Gereraor ambalo limetengezwa hapo Japan.

 
Posted : April 25, 2024 2:11 am
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 

Mdau, mimi nina-import magenereta used toka japan in good condition yote ni super silent I have brands such as Honda, Komatsu, Denyo, Airman etc showroom yetu ipo Mwenge DSM opposite na kanisa la Kakobe. For further info call 07190777017

 
Posted : April 25, 2024 2:27 am
(@west-london)
Posts: 7
0.000
Topic starter
 

@kamau We ni muzaji au mnunuzi?

 
Posted : April 25, 2024 2:53 am
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 

Kama upo serious ni pigie  for Olympian Genset, service, sio tatizo kama utakuwa hapa Dar kila baada ya masaa 250 au miezi mitatu nitaarifu nije kupiga servuce, parts zipo pia.

 
Posted : April 25, 2024 2:57 am
(@west-london)
Posts: 7
0.000
Topic starter
 

@kamau Weka picha yako naya Generator nione.

 
Posted : April 25, 2024 3:30 am
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 

😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 😣 Picha yangu ya nini?

 
Posted : April 25, 2024 3:32 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.

(@west-london)
Posts: 7
0.000
Topic starter
 

Kwawatu mliko Japan naomba majibu..

 
Posted : April 26, 2024 4:47 am
Jonson John
(@jonson-john)
Posts: 433
Seller
 

Hii huduma sio kwa free members,unaweza kulipia kifurushi cha Trusted Member  kisha nitakuhudumia. 

Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Dar✅ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.✅✅👍💪🙏🏿

 
Posted : April 27, 2024 5:07 am
(@west-london)
Posts: 7
0.000
Topic starter
 

Kinalipwaje?

 
Posted : April 29, 2024 3:33 am
(@kamau)
Posts: 13
0.000
 

Niungishe boss wangu

 
Posted : April 29, 2024 3:34 am

THIS IS AN ADVEVERTISING SPACE.

The low-Price Managed ADs Is Solution For Everyone .

This is An Offer!! Each ad is $1 Per Week. More Info.


Digxam

FREE
VIEW