Posted by: @ubuntuscofield
Nahitaji mtu wakunisaidia kununua bilstein shocks za honda CRV 2010 kutoka duka la imcomex pretoria. Ni Mbili za mbele(22-214096 na 22-214089) na mbili za nyuma (BILSTEIN Part no: 19-214108.) na kuzituma bongo. Naomba msaada
Ombi lako linashughulikiwa,naomba kesho nikupe majibu kamili nini chakufanya namana ya kuchuchua vifaa vyako na kuvituma haraka sana iwezekanavyo,Asante sana kwakutumia huduma zetu.
Posted : April 10, 2024 9:38 pm