Bora ununue hili hapa hilo litakutesa ndugu yangu.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Hili kama bei gani?
Hadi usajili sio chini ya 30ml.Hili kama bei gani?
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
@jonson-john Parefu Chef 👩🍳 naomba unipambanie nitafutie body na vifaa vingine vya kuunga unga nitumie jamaa yako.
@rama Account yoko iko zero i see ebu onyesha ushurikiana tuingia mtaani kitakachopatikana tutajulishana.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Usijali wewe pambana ukipachochote ukipost hapa napata email na ingia chapu kwa haraka tunaelekezana.
@rama Kama uko serious naomba ufate utaratibu nitakufanyia kazi yako,kinyuma na hapo kuwa mpole sikilizia kuna watu wana spare za gari lako na hivi umeli post watakutafuta soon.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Sio kwamba nakupinga Jonson hapana Β tatizo huku home mambo magumu bora nyie mlioko huko mbele,tushikeni mkono bwana undungu kazi.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 acha saundi mkuu.Sio kwamba nakupinga Jonson hapana Β tatizo huku home mambo magumu bora nyie mlioko huko mbele,tushikeni mkono bwana undungu kazi.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Hii ndio Faida ya kukua kwa technologia,tunaweza wasiliana lakini kwenye gharama kidogo mambo magumu,tuvumiliana tusaidie tubebane Mungu ni mwema mambo ya takaa usisahau nyumbani ndugu yangu.usiku mwema.
Bwana Rama hapa ni asubuhi,yaani umenichekesha sanaa anyway sawa nitakupambania tuombe uzima,vipi huku chini kuanzia kwenye chesses,Spring,Shocks,Vifaa vyake vikoje vizima?ΒHii ndio Faida ya kukua kwa technologia,tunaweza wasiliana lakini kwenye gharama kidogo mambo magumu,tuvumiliana tusaidie tubebane Mungu ni mwema mambo ya takaa usisaha nyimbani ndugu yangu.usiku mwema.
Β
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
@jonson-john Bila kupoteza muda chini naona kama chasss ni mzima ila vifaa vingine hadi Gari litembee ndiyo nitajua cha kufanya ila ukivipata tupia hapa tuvisaminishe kisha tutapata majibu.
Sawa usiku mwema,ukiamka utakuta update,ngoja niingie mtaani.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Pamoja na Rims zake.
Body compliteΒ
Engine na Geabox yake.
OK.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Asante sana.
Kwema ndugu?
Kwema habari za huko?
Habari za huko kimya sanaa vipi umepata?
@rama Hii huduma bila kuweka balance huwezi kupata kwa sasa naomba ulipike vifaa vya Gari lako vitafutwe.
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
What are you looking for?
Hello
Habari zale.
Maendeleo yakojeΒ
Umelipia?
Kila Tarehe 27 Mwisho wa mwezi,tunapakia Container kutoka Japan kwenda Darβ Lipia mzigo wako mapema week moja kabla ya mzigo kuondo.β β ππͺππΏ
Bado vipi umepata